Hahahaaa... Sidhani kama Kikwete keshakuwa adui kiasi hicho. Uhuru Kenyata awakutanishe, awapatanishe...
Mkuu vitu vingine pima hata wewe kabla hujaleta jukwaani wakae wayamalize yepi.Chokochoko kati ya Tanzania na Rwanda zinazidi kuongezeka
Tunawahitaji majirani zetu zaidi ya tunavyowahitaji wachina na wamarekani
Jana tulikuwa tunajibizana na Malawi, leo Rwanda; Kesho itakuwa Kenya, na keshokutwa Uganda...
Hatutafika mahali...
Kama vile Kikwete alivyomshauri Kagame, kwa roho safi na kwa nia njema kabisa kuwa akae na FDLR waongee, nami basi napenda kumshauri Kikwete, kwa roho safi na kwa nia njema, akae na Kagame waongee, wayamalize, tuendelee kuwa na ujirani mwema...
Mkuu kama unanywele kama hii avatar yako hazikusaidii zinyoe tu pengine nywele zimefunika akili zako nyingi kagame alivyomjinga vile leo uombe kukaa naye hata utawala wa sheria hajui.Hahahaaa... Sidhani kama Kikwete keshakuwa adui kiasi hicho. Uhuru Kenyata awakutanishe, awapatanishe...
Chokochoko kati ya Tanzania na Rwanda zinazidi kuongezeka
Tunawahitaji majirani zetu zaidi ya tunavyowahitaji wachina na wamarekani
Jana tulikuwa tunajibizana na Malawi, leo Rwanda; Kesho itakuwa Kenya, na keshokutwa Uganda...
Hatutafika mahali...
Kama vile Kikwete alivyomshauri Kagame, kwa roho safi na kwa nia njema kabisa kuwa akae na FDLR waongee, nami basi napenda kumshauri Kikwete, kwa roho safi na kwa nia njema, akae na Kagame waongee, wayamalize, tuendelee kuwa na ujirani mwema...
Mkuu vitu vingine pima hata wewe kabla hujaleta jukwaani wakae wayamalize yepi.
Kunakosa gani ambalo jk kafanya mpaka akae na kagame kagame anauwa watu na kupora mali za congo halafu ukae nini.
Mkuu acha kabisa kuleta hoja za namna hiyo kagame mjinga sana hamna hoja hata moja itayofanya jk na kagame kukutana.
kagame mikono yake inanuka damu ni muuaji daraja la kwanza halafu leo ukae naye ba! Bwana wewe.

Mkuu kama unanywele kama hii avatar yako hazikusaidii zinyoe tu pengine nywele zimefunika akili zako nyingi kagame alivyomjinga vile leo uombe kukaa naye hata utawala wa sheria hajui.
Kagame pia anasema waasi waliua wanyarwanda na hawajatubu wanataka kuua zaidi!? Lkn Jk anataka Kagame aongee nao tu wayamalize! Wewe unasema JK hawezi kukaa na Kagame mikono yake ina Damu...logic mbovu kabisa...!!hata mtoto wa darasa la pili hawezi kuchemka hivyo!!
Mkuu kwa nini hampendi Suluhu?Kikwete ndie kalianzisha.sasa kama ujumbe wake umepokelewa vibaya kwa nini asikae nae ili amweleweshe vizuri.Ushauri wa Tuko ni Ushauri Mwanana kabisa.Nasema hivi kwa sababu Nchi yetu kwa sasa hatupo vizuri Kidiplomasia,Kiuchumi,Kimaadili na hata Mshikamano kama taifa upo chini sana.Tumtake Radhi Kagame ambaye anaonekana ni Mjanja kuliko Viongozi wetu.