Nashukuru kwa ufafanuzi maana mimi ndo nipo la pili sasa.Kila mtu huchagua mwenyewe anakotaka kufika, haijalishi ni njia mbaya au nzuri cha msingi ni kwamba umechagua..
Uelekeo tuliouchagua tutafika tu, maana pia tafsiri ya uendako inapatikana kutokana na matendo yako..
Matendo yetu ndio yanayoonyesha tuendako, AKILI YAKO INATAKIWA IWE FREE NA MATURED KULIJUA HILI..