Kikwete agiza dawa kwa babu!

Inasemakana ya kuwa JK ameagizia dawa kutoka Loliondo kwa Babu kupitia mtumishi wake wa karibu wa Ikulu ampelekee dawa anywe ili ajitibu ugonjwa alionao. Ila Babu amekataa katakata kumpatia dawa mtumishi huyu wa Ikulu kwa masharti kuwa dawa hiyo lazima inywewe hapohapo na mgonjwa mwenyewe...
Kazi anayo JK!....sijui anataka kujitibu nini mkwere na yeye alishapima ukimwi mnazi mmoja na kukutwa negative!...........

Anataka kutibu ugonjwa wa kuanguka akiwa majukwaani!!!!

Tiba
 
Mbona mweshimiwa kafika na dawa kanywa sasa katuma ya nini wakati na familia yake imefika kule sas hiii umeipata wapi
 
Hutaki apone kwani??
Dah!!! Mambo mengine bwana!!!
 
Oooh waisilam msiende dawa ni ya kishetan imeandaliwa na makafiri. Haya sasa jk anataka najua wengi tu watakwenda.
 
Back
Top Bottom