Kimbunga
Platinum Member
- Oct 4, 2007
- 14,941
- 9,947
Mbona hakumkemea SHUKURU KAWAMBWA?
Hivi hujuhi kuwa ufisadi umeshamiri wakati gani wizara ya ujenzi?
just to remind you kuwa Magufuli alipoingia wizarani alilalamika sana na kuwa gharama kujenga barabara kwa 1 KM ni kubwa kuliko zilizopo Africa mashariki na kati.
Mikataba aliyoikuta mingi ni 1 KM kwa 1.8 Billion, sasa yeye kasaini mipya juzi mfano wa barabara ya Iringa mpaka Dodoma kwa 1 KM kwa 0.8 billion.
Kwanini tusimkamate shukuru kawambwa hatueleze chenji zetu ziko wapi? na bado barabara zenyewe ni za KICHINICHINA.
Kama alinyamaza kwa Kawambwa sasa si amesema? Wewe huna data hata kidogo toa mfano wa barabara ambayo imejengwa kwa Tshs. 1.8 billion kwa km. Mnamsema kuwa ni mpole sasa leo mmemuona kachukia baada ya kugundua njama za kuliibia taifa mnaanza tena kusema alikuwa wapi. Kama alikuwa wapi sasa yupo, amesikia kilio cha watanzania. Umeona moto wake kuhusu kiwanja cha simba? Wabomoe na kama walilipwa basi walipe kutoka mifukoni mwao. Sasa Rais Kikwete amenza kuonyesha makucha yake