Kikwete aenda kukagua shamba la mihogo

Saint Ivuga

JF-Expert Member
Aug 21, 2008
54,363
58,386

Rais Kikwete akiongea na wananchi baada ya kukagua shamba la mihogo katika kijiji cha Nawale wilayani Nanyumbu.
my takek kakagua shamba la mihogo.. je mvua isiponyesha na mihogo si itakufa? au atageuka mawingu ghafla mvua inyeshe?
swala la umeme vipi? anangojea mvua?
 
Eka tatu za mihogo zinakaguliwa na RAIS! mwe kweli rais kafuliaaaaaaaaa
 
hahahaha na zaidi anafanya mambo ya wale wa chini yake ambao walipaswa wafanye
 
Ni raisi wa wote, hana upendeleo, habagui wakulima! Wote kwake wana haki sawa
 
Anatafuta support ya wananchi wa vijijini baada ya kuona mjini wameshamshtukia kuwa ni kilaza...... Kazi anayo muhula huu, atakagua mpaka visivyokagulika. Alikuwa anafikiria uongozi ni kuchekacheka tu!!!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…