Bishop Hiluka
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 7,147
- 14,711
Crap ze crap ze upupu
Nimeamini kweli bangi ni mbaya...
Crap ze crap ze upupu
Huku mtaani wameshaanza kusema eti angekuwapo Lowassa bado serikali isingekua legelege hivi!!!
tatizo liko kwa mwenyekit wa chama na ambaye anajiita Raisi huyu ndo kikwazo anapaswa kuondolewa
Kama ulishindwa kumuondoa kwa kura 2010, sasa hivi utamuondoa kwa vigezo gani?
Source: Tanzania Daima
source hiyo inaandika habari za upande mmoja, siwezi comment
<br />J.Chiligati alisema" ukisikia unatajwatajwa kwenye ufisadi wewe ni gamba,jionde ndani ya ccm" kikwete ametajwa kwenye ufisadi wa rada,kagoda,epa n.k.HIVYO NA YEYE NI GAMBA! Chakushangaza bado yupo!
<br /><font color="#FF0000"><span style="font-family: arial black">Source: Tanzania Daima</span></font><br />
source hiyo inaandika habari za upande mmoja, siwezi comment
Mtaendelea kunya - kunya tu!Ataondolewa kwa nguvu ya umma!