Kikwete aalikwa kwenye mazungumzo ya amani Msumbiji


darcity

darcity

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2009
Messages
4,112
Likes
5,847
Points
280
darcity

darcity

JF-Expert Member
Joined Jul 20, 2009
4,112 5,847 280
Naona safari za nje na nyota ya Rais mstaafu wa awamu ya nne inazidi kung'aa,kwa mujibu wa mtandao mmoja wa Mozambique,serikali ya Msumbiji imemualika katika mzungumzo ya kutafuta amani huko msumbiji kati ya Serikali ya nchi hiyo inayoongoza nchi chini ya chama tawala FRELIMO na Chama cha Upinzani RENAMO. Waalikwa wengine ni Rais mstaafu wa Botswana na mwakilishi toka taasisi/mfuko wa Tony Blair waziri mkuu wa zamani wa Uingereza. Makubaliano ya kuwaalika wasuluhishi hao yalifikiwa baina ya serikali ya nchi hiyo na RENAMO.Hivi sasa Kikwete anapigiwa chapuo kuchukua nafasi ya uenyekiti wa tume ya Afrika.

Govt invites Kikwete, Masire & Blair’s Foundation to join Mozambique peace talks – Zitamar

According to the Zitamar news website, the Mozambican government “has proposed a further three outside mediators to take part in peace talks with armed opposition party Renamo, in addition to the three mediators invited on the insistence of Renamo”.

They are Jakaya Kikwete, former president of Tanzania, Quett Masire, former president of Botswana, and an un-named personage from former British prime minister’s Tony Blair Foundation.

Invitations have been sent last week to the European Union, the Catholic church and the South African government, whose representatives, which Afonso Dhlakama had said were to arrive in Maputo yesterday, are not known so far, reported O País on Monday.

Meanwhile, State News Agency AIM, has reported on Friday, June 17, that “the joint commission set up by the Mozambican government and by the rebel movement Renamo to prepare a face-to-face meeting between President Filipe Nyusi and Renamo leader Afonso Dhlakama proposed on Friday that observers should witness the talks seeking to re-establish effective peace in the country.”

According to the same source, “Speaking to reporters after the end of the fifth session of the joint commission, on June 17, the head of the Renamo team, Jose Manteigas, said there was consensus over the introduction of observers into the dialogue.”

“It is the understanding of the joint commission that observers could be invited into this process”, said Manteigas. “There are two figures – the figure of facilitators (mediators), and the figure of observers”.

Up until Thursday, June 16, the government had opposed involving foreign mediators or observers in a dispute between Mozambicans, reported AIM, adding that, at a rally in the southern city of Matola on Thursday, June 16, Nyusi had announced the reversal of this policy.

“If the problem is to have somebody else present while we are discussing, then let Dhlakama come with whoever he likes, and we will talk so that he ends the attacks”, Nyusi said. “Let him come with these people, and we shall see what will happen. I am ready”, said the President, cited by AIM.

In late May, the Mozambican government and Renamo resumed negotiations on the political and military crisis in Mozambique, the main opposition party having abandoned dialogue with the executive in late 2015 on the grounds of lack of progress.

Mozambique experienced a worsening of political violence in recent months, with clashes between Renamo and defence and security forces and mutual accusations of abduction and assassination of party members, and attacks on military and civilian targets in the centre of the country attributed by the authorities to the opposition’s armed wing
Source:
Govt invites Kikwete, Masire & Blair’s Foundation to join Mozambique peace talks – Zitamar
jakaya_kikwete_2011_-cropped-jpg.365730
 
N

Ngonidema

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2015
Messages
2,362
Likes
1,575
Points
280
N

Ngonidema

JF-Expert Member
Joined Jul 30, 2015
2,362 1,575 280
Sawa!
 
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2012
Messages
8,126
Likes
5,223
Points
280
Yohana Kilimba

Yohana Kilimba

JF-Expert Member
Joined Dec 25, 2012
8,126 5,223 280
We Kikwete,Ungejua Jinsi Tulivyo Kumisi,Ungekuja Ukaongea Ata Neno Moja la Kutu Tia Moyo...Dah
 
Msambichaka Mkinga

Msambichaka Mkinga

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2015
Messages
1,401
Likes
2,291
Points
280
Msambichaka Mkinga

Msambichaka Mkinga

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2015
1,401 2,291 280
Mungu humjalia kila mja wake kipaji maalum tofauti na mwingine. Tatizo kuna wakati hututambui vipaji vyetu, tunang'ang'ania vya wengine, na kuna wakati hatutambui vipaji vya wenzetu.

Tunaweza sisi tusione ubora wa Kikwete, tinaweza tukayaona madhaifu yake kuliko ubora alionao lakini nina imani lazima ana kitu fulani ambacho wengine hawana, wanaotambua ndiyo hao kila siku wamwalikao.
 
I

IkuluKwetu

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2016
Messages
539
Likes
389
Points
80
I

IkuluKwetu

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2016
539 389 80
Mungu humjalia kila mja wake kipaji maalum tofauti na mwingine. Tatizo kuna wakati hututambui vipaji vyetu, tunang'ang'ania vya wengine, na kuna wakati hatutambui vipaji vya wenzetu.

Tunaweza sisi tusione ubora wa Kikwete, tinaweza tukayaona madhaifu yake kuliko ubora alionao lakini nina imani lazima ana kitu fulani ambacho wengine hawana, wanaotambua ndiyo hao kila siku wamwalikao.
Sure and very sure brother!
 
Gamba la Nyoka

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2007
Messages
6,920
Likes
7,529
Points
280
Gamba la Nyoka

Gamba la Nyoka

JF-Expert Member
Joined May 1, 2007
6,920 7,529 280
Blessed are the peacekeepers
 
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2015
Messages
17,671
Likes
51,839
Points
280
Ghazwat

Ghazwat

JF-Expert Member
Joined Oct 4, 2015
17,671 51,839 280
OK..huo mwaliko ni kwa gharama za Tanzania au msumbiji..!?
 
F9T

F9T

JF-Expert Member
Joined
Dec 26, 2015
Messages
1,414
Likes
1,849
Points
280
Age
28
F9T

F9T

JF-Expert Member
Joined Dec 26, 2015
1,414 1,849 280
kikwete nakukubali sana mzee. MUNGU akupe maisha marefu
 
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined
Jun 29, 2011
Messages
14,916
Likes
2,876
Points
280
Deo Corleone

Deo Corleone

JF-Expert Member
Joined Jun 29, 2011
14,916 2,876 280
Hawa watu tumewasaidia sana kupata Uhuru.
Wamezingua tena.
Haya JK kawasaidie tena
 
M

magafumukama

JF-Expert Member
Joined
May 31, 2016
Messages
742
Likes
196
Points
60
Age
68
M

magafumukama

JF-Expert Member
Joined May 31, 2016
742 196 60
Amani? Hapa tunayo?
 
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined
Feb 11, 2011
Messages
19,343
Likes
11,644
Points
280
K

kabombe

JF-Expert Member
Joined Feb 11, 2011
19,343 11,644 280
We Kikwete,Ungejua Jinsi Tulivyo Kumisi,Ungekuja Ukaongea Ata Neno Moja la Kutu Tia Moyo...Dah
Akutie moyo upi wakati mlisema dhaifu,mswahili
 
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2015
Messages
22,875
Likes
50,220
Points
280
MKWEPA KODI

MKWEPA KODI

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2015
22,875 50,220 280
Hapo lazima FRELIMO watashinda, ni sawa na kumpeleka Jecha akasimamie uchaguzi wa marudio kati ya CUF na CCM pale temeke unategemea chama kipi kitashinda
 
Newfame

Newfame

JF-Expert Member
Joined
Feb 27, 2015
Messages
393
Likes
944
Points
180
Newfame

Newfame

JF-Expert Member
Joined Feb 27, 2015
393 944 180
Huu Mwaliko ni baada ya tarehe 23 na 24 July au kabla ya terehe hizi?Baba J...anaweza kuzuia safari za Watanzania wote sasa nje ya nchi hadi kibali cha katibu mkuu kiongozi.
 
kinumi

kinumi

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Messages
1,027
Likes
691
Points
280
kinumi

kinumi

JF-Expert Member
Joined Nov 5, 2013
1,027 691 280
Jk na huku kwetu hakuna Amani njaa zinaua watu pesa hakuna mifukoni hii ni zaidi ya vita
 
nasmapesa

nasmapesa

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2014
Messages
3,976
Likes
3,036
Points
280
nasmapesa

nasmapesa

JF-Expert Member
Joined Jul 31, 2014
3,976 3,036 280
Mh jk piga kazi baba,kuna watu huku ilikua kila siku kukuponda sasa tunaisoma no kwa pamoja,asante MUNGU na kuna watu wanaamini ipo siku maisha yatakua mazuri tehtehteh,mzee jk baba j anatusomesha no vizuri tu usiwe na wasiwasi na sisi.
 
nyabhera

nyabhera

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2011
Messages
493
Likes
335
Points
80
Age
33
nyabhera

nyabhera

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2011
493 335 80
Ali sasa nimekubali Jk ni inborn international character
 
Y

YusuJo

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2016
Messages
538
Likes
468
Points
80
Y

YusuJo

JF-Expert Member
Joined Apr 10, 2016
538 468 80
Ali sasa nimekubali Jk ni inborn international character
Hakuna mtu anayezaliwa na kitu. Vitu vyote tunavikuta duniani na kuji- associate navyo. Interests na kuona umuhimu na mambo ndiyo siri ya kujenga expertise kwenye eneo fulani. Dunia hii sasa hivi imekuwa ndogo sana, huwezi kupiga remarkable step kama unaamua kukaa mwenyewe, Nchi zilizoendela kama China, USA, Korea, Japan wanafanya hivyo mbali na uchumi wao kuwa mzuri. Ni wakati sasa tuanze kuwa na mpango wa kushiriki kikamilifu kwenye international development forums kwa kuwa na representation sawa na mataifa mengine
 
Erythloblastosis

Erythloblastosis

Member
Joined
May 29, 2016
Messages
47
Likes
30
Points
25
Age
36
Erythloblastosis

Erythloblastosis

Member
Joined May 29, 2016
47 30 25
JK ni kiongozi. Kama hatuamini ukweli huu tusubiri wakati utakapo tudhihirishia. Kuna wakati mtu anaweza kudhani kuwa Usomi ni vyeti ulivyotunukiwa na vyuo, hapana bali Msomi ni yule anayetumia Maarifa aliyonayo kwa usahihi na kuleta matokeo chanya kwa jamii. Kikwete ni Kiongozi msomi na ndiyo maana jamii inaridhishwa na mwenendo wake na kuendelea kumwamini. Katika Dunia ya leo Mtawala mwenye Kiburi, majigambo, Kujikweza, Dharau na Lugha za maudhi hana nafasi katika jamii za watu waataarabu. Kikwete hana sifa hizo na ndiyo maana Dunia inamthamini.
 

Forum statistics

Threads 1,239,023
Members 476,289
Posts 29,340,217