Huu ni ubunifu wa hali ya juu baada ya maisha kuwa magumu, mtanzania wa kawaida kaamua nae autulize moyo wake kwa kuwa na kaghorofa ka udongo.Kazi ipo.
Picha ya siku nyingine sana,ila umeipa jina lingine.
Sass nakuuliza CS anga gani imekwanguliwa hapo wakati hata hiyo migomba inakwangua Hilo anga kwa owe da mbele