Hahahhaaaa...umenimbumbusha kuna mshkaji alioda matairi ya alteza yake akaletewa vitairi vya matoi ya watoto....KiKuu ni wapuuzi sana unaagiza kiatu size 43 wao wanakuletea 39 halafu wanabandika namba 43 pumbavu ha.ufikishwaji wa bidhaa hovyo, huduma kwa wateja mbovu....unaweza pick sandals za ngozi halafu wao wakakuletea yeboyebo(slipper) sina hamu nao
nishafutaga App yao kitambo......ila bidhaa zao ni affordable
Uwe na master card, visa card au m-pesa master card kwa ajili ya malipo.Mkuu nataka kuagiza Nokia 2 aliexpress hatua gani nipitie?
Ndio kwa Aliexpress. Kwa hao kikuu sina uzoefu nao.Samahani naomba kuuliza... Mzigo unafika posta ata kama sina sanduku la posta? Au inakuaje
Naweza kutumia leseni kama kitambulisho cha kwenda kuchukulia?Ndio kwa Aliexpress. Kwa hao kikuu sina uzoefu nao.
Ahsante kwa ufafanuzi sijawahi kununua bidhaa mitandaoni juzi nikajaribu kuingia ALIBABA kununua bidhaa cha kushangaza bei ya bidhaa ni USD 11 shipping cost ni USD 117 mpaka Sasa hivi sijaelewa inakuwaje shipping ni gharama kiasi hichoUwe na master card, visa card au m-pesa master card kwa ajili ya malipo.
Ingia aliexpress na ujisajili kutumia e-mail yako.
Anza kutafuta bidhaa unayoitaka yaani nokia 2.
Bonyeza button ya buy.
Itakuja page yenye sehemu ya kuweka information za card pamoja na shipping address.
Kwenye shiping address utaweka sanduku la posta au kama hauna unaweka jina la wilaya mkoa, cha msingi ni namba na majina yawe yale yaliyo kwenye vitambulisho vyako.
Kwa sababu posta watahitaji kitambulisho.
Baada ya hapo place order, baadae seller atakupa tracking namba kufuatilia mzigo umefikia wapi.
Unaweza tumia web ya 17track kufuatikia mzigo, zipo nyingi tovuti za namna hiyo.
Then vumilia kwa wastani itachukua wiki tatu ila kama utakuwa na haraka tumia dhl ila gharama zake si za kitoto.
Usisahau kucheki reviews kabla ya kununua
Nadhani tatizo ni hapo kwenye red.KiKuu ni wapuuzi sana unaagiza kiatu size 43 wao wanakuletea 39 halafu wanabandika namba 43 pumbavu ha.ufikishwaji wa bidhaa hovyo, huduma kwa wateja mbovu....unaweza pick sandals za ngozi halafu wao wakakuletea yeboyebo(slipper) sina hamu nao
nishafutaga App yao kitambo......ila bidhaa zao ni affordable
Aliexpress wako vizuri niliagiza kifaa changu fulani siku 10 tu kimefika bongo
Hii MasterCard inapokea pesa kutoka nje ya nchi? Nataka kufanya biashara ebayUnatengenezaje MasterCard ya m pesa
Shipping cost ni gharama hasa huko alibaba na sellers wengi huwa hawatumi kwa njia ya posta maana alibaba wanauzaga vitu vya jumla.Ahsante kwa ufafanuzi sijawahi kununua bidhaa mitandaoni juzi nikajaribu kuingia ALIBABA kununua bidhaa cha kushangaza bei ya bidhaa ni USD 11 shipping cost ni USD 117 mpaka Sasa hivi sijaelewa inakuwaje shipping ni gharama kiasi hicho
Hakika. Cha msingi ni kuandika majina kama yanavyoonekana kwenye hiyo leseni yakoNaweza kutumia leseni kama kitambulisho cha kwenda kuchukulia?
Ili mradi majina yanatokea kwenye parcel yako yafanane na hayo ya kwenye kitambulisho chako i guess.Naweza kutumia leseni kama kitambulisho cha kwenda kuchukulia?
Shipping cost ni gharama hasa huko alibaba na sellers wengi huwa hawatumi kwa njia ya posta maana alibaba wanauzaga vitu vya jumla.
Njia nzuri ya kufikisha mzigo huku ni kutumia makampunj kama silent ocean au gsm cargo hucharge pesa kwa kupima kilo.
Asante saaana nduguAliexpress ni habari nyingine niliagiza Radio ya Gari android nimeipa kama ilivyo na nipo Mkoani bidhaa imefika tu posta wakanipigia simu nikachukue mzigo wangu HUDUMA SAAAAFI
Ouk Kaka nashukuru wacha nianze kutumia kikuu na unayoyasema yako sahihi maana Kuna baadhi ya vitu Kama simu na vingine havipatikani kikuu but vinapatika AliExpress hivyo AliExpress nimeikubaliYani sawa na unafanisha Real Madrid na Yanga, its a joke.
Kwa kifupi kikuu ananunua vitu kutoka aliexpress kwa process inayoitwa "drop shipping".
πππππππ kwa ID yako mkuuSawa nashukuru kaka
ππππππ ufala huoHahahhaaaa...umenimbumbusha kuna mshkaji alioda matairi ya alteza yake akaletewa vitairi vya matoi ya watoto....