mizambwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2008
- 4,422
- 1,790
Mkuu tungekuwa na viwanda hawa watu wanahusika sana kwenye viwanda hawawezi shindwa kufanya hata packing!
Tatizo hata hizo label za packing, zimeandikwa kiingereza aua kiswahili nao lugha wanayoiabudu ni Kiarabu.
Ndio maana wanafanya fujo kwa ukosefu wa elimu ya maana. Waliosoma hawawezi kufanya utumbo huu.
MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!