Kikundi cha kilimo

shamba lipo wapi na ukubwa gani? maji yapo? count me IN!

Mimi Kama mimi bado sina shamba.....mashamba ni ya kukodisha na yanapatikana!kuhusu ukubwa Wa shamba ni juu yetu sisi kujua kwa kuanzia tuanze na shamba la ukubwa gani...tunaweza kuamua kuanza na ekal moja then tukaendelea kuexpand muda baada ya muda!
 
Ndugu yangu TUNAWEZA kufanya kazi pamoja kama uko interested nipo dar ila pia moro nina mahali. PA kuishi piga simu hii+255 657 740 797..
 
Nimekupata kaka mwananchi....nadhani turahisishe hili zoezi kwa kufanya hivi...wale ambao wako tayari kuhusu swala hili naombeni mtupie namba zenu hapa then mi ntacreate group watsapp and add you all ili tuanze mchakato rasmi Wa nini kinaanza nini kinafuata!pamoja guys
 
Habari wana jamvi,

Nimevutiwa na maelezo ya mtoa mada nikaona sio mbaya nikachangia pia.

Me pia ni mkulima wa vitunguu, nyanya kwa kutumia greenhouse, hoho, ufugaji wa nyuki kwa njia ya kisasa na matikitiki. Nnachoweza kusema hii sekta ya kilimo ni nzuri sana na bado ina nafasi kubwa sana ya kubadili maisha ya watanzania wengi.

Kwa sasa namiliki kampuni mbili ambazo zimejikita kwenye masuala ya kilimo na dhumuni haswa likiwa kusaidia vijana wenzangu pia kufanikiwa katika kilimo.

Kampuni ya kwanza na kampuni mama inaitwa Lumuma Investment ambayo inahusika na mambo yote kuanzia Greenhouse farming, Drip Tape Irrigation, pia tunazo variety tofauti za mbegu aina ya Hybrid F1.

Kampuni ya pili na kampuni dada inaitwa Central Park Bees Ltd, ambayo inajihusisha na ufugaji wa nyuki na uuzaji wa vifaa vya kisasa vya kufugi nyuki. Tembelea tovuti yetu http://www.centralparkbees.co.tz uweze kujua zaidi faida za ufugaji wa nyuki kwani ni zaidi ya kupata asali. Kuna products nying utaweza kupata kutokana na nyuki ambazo dhamani hake ni kama Gold.

Napenda kuwahakikishia kuwa kilimo kinalipa, kwani binafsi toka nimemaliza chuo sijawahi kuomba ajira sehemu na nimekua na maisha ya furaha kutokana na kilimo.

Tunapatikana Makole, tukitazamana na msikiti wa Makole Dodoma mjini.

Wasiliana nami kwa simu namba: 0655003510 / 0689658811
Email: josephkadendula@centralparkbees.co.tz

Ahsanteni sana.
 

Asante Sana kaka baraka...nitakutafuta!
 

Wazo zuri sana kwa vijana wa karne hii, nipo mbali na morogoro ila nawaunga mkono na kuwatakieni kila la kheri
.
 
Nimepanda sn hili wazo na ningependa kujiunga lkn mimi nalima vituguu Moshi.. Nikivuna huu msimu ntawatafuta
 
Nimepanda sn hili wazo na ningependa kujiunga lkn mimi nalima vituguu Moshi.. Nikivuna huu msimu ntawatafuta

Mkuu kitunguu umelimia maeneo gani moshi?
 
nimevutiwa sana na hili wazo ningependa kuungana nanyi kwenye kilimo cha matikiti. kwa sasa nimelima viazi vitamu gairo namba yangu ni 0752177769
 
Mada kama hizi za kutukomboa watanzania watu wala hawazijali
 

HABARI,
"nitaluv,
Hongera sana kwa mapambano ya maisha Na pole kwa matatizo, kama mwanamke ni mfano wa kuigwa pia hongera kwa kutuma fursa hii kubwa ya kilimo kwakuwa ndio kati ya fursa chache ambazo mtu unaweza kuwekeza na ukawa na uhakika wa mapato wewe uko kwenye ngazi nyingine jua tofauti na wengi wetu kwakuwa tayari ulishathubutu na unajua changamoto kidhaa sio kwa kuambiwa bali kwa kuzikabili.Sasa ni vema ukasema uko wilaya gani na wapi hapo morogoro toa na mawasiliano yako na kama nikilimo hicho ni lazima kuwe na chanzo cha maji sema hilo pia ila nakushauri katika mambo magumu kwetu sisi watu wa hali ya chini ni uaminifu hela shetani Dada yangu nakushauri upange ratibazako ila kama ni kilimo uwe na muda wa kutosha kusimamia mazao yako kaachini fikiria sana huo uamuzi sikukatishi tamaa ila nakupa angalizo na kama utapata watu tafadhari ingia nao mkataba kabisa nyie wote na dhamana ziwepo pia.

LUMUMBA
 
Reactions: Cyb
Poa poa haina noma!kuna wataalamu pia nawafahamu nafanya nao kazi so am sure this is going to work!watu tu wenye nia wapatikane!
Kesho nipo MOROGORO hadi alhamisi tukionana iakuwa fresh tunaweza jifunza mengi.
 
Tupia namba yako humu ili sisi tukucheki KWA Simu Na baadae baada ya kuafikiana uunde group
 
Hongera (KILIMO KWANZA ,VIWANDA NAFASI YA PILI) Mimi ni naunda PAMPU za. maji kwa ajili ya umwagiliaji kwa gharama nafuu sana 0765793347 fuatana nami.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…