the horticulturist
JF-Expert Member
- Aug 24, 2012
- 1,959
- 1,929
Dah tena ingekuwa poa Sana ungekuwa ni mmoja Wa wanachama..tungekuwa na uhakika Wa technical assistance bureeee kabisa!too bad...
Mkishakua teyari nitawaconnect na mtaalam atakaekua karibu nanyi maana wapo waliomaliza hapa ambao wengine wameajiliwa huko Morogoro so endeleeni kujipanga sawa ndugu zanguni
Poa poa haina noma!kuna wataalamu pia nawafahamu nafanya nao kazi so am sure this is going to work!watu tu wenye nia wapatikane!
Okay nakuwish heri
Okey guys nimejitahid Kuchanganua gharama za hiki kilimo na haya ndo majibu nlokuja nayo..
1- kukodi shamba ni 250,000/= kwa mwaka!(shamba lililo karibu na chanzo cha maji kisichokauka kwa mwaka mzima)
2- kuandaa shamba
*kulima kwa tractor 50,000/=
*kupiga halo 50,000/=
*kuinulia matuta (matuta 35*tsh 4000 each) =14000
3-kuandaa kitalu 100,00/=
4- Mbegu kwa ekali moja
*tikitimaji pact 3@55,000=165,000/=
*nyanya pact 2@180,000=360,000/=
*vitunguu kg1.5 =468,000/=
*viaz mbatata gunia 5@50,000= 500,000/=
*cabbage pacts 2@68,000= 136,000/=
*nanasi miche 18000 = 2700,000/=
*pilipili mbuzi miche 5200 = 25,000/=
*matango =17,000/=
5- Mbolea (gharama ni makadilio). = 500,000/=
6- Madawa (gharama ni makadilio) = 250,000/=
7- mafuta( umwagiliaji) Lita 2 kwa siku 90= 450,000/=
8-miti na kamba (kwa nyanya na hoho)= 250,000/=
9- vibarua wawil ( 60,000*2=120,000) kwa miez 4=480,000/=
10- kununua water pump (ya 3'). = 280,000/= hadi 300,000/=
Kama kuna nlichokisahau then ntakijibu kupitia maswali yenu!thanks....
Okey guys nimejitahid Kuchanganua gharama za hiki kilimo na haya ndo majibu nlokuja nayo..
1- kukodi shamba ni 250,000/= kwa mwaka!(shamba lililo karibu na chanzo cha maji kisichokauka kwa mwaka mzima)
2- kuandaa shamba
*kulima kwa tractor 50,000/=
*kupiga halo 50,000/=
*kuinulia matuta (matuta 35*tsh 4000 each) =14000
3-kuandaa kitalu 100,00/=
4- Mbegu kwa ekali moja
*tikitimaji pact 3@55,000=165,000/=
*nyanya pact 2@180,000=360,000/=
*vitunguu kg1.5 =468,000/=
*viaz mbatata gunia 5@50,000= 500,000/=
*cabbage pacts 2@68,000= 136,000/=
*nanasi miche 18000 = 2700,000/=
*pilipili mbuzi miche 5200 = 25,000/=
*matango =17,000/=
5- Mbolea (gharama ni makadilio). = 500,000/=
6- Madawa (gharama ni makadilio) = 250,000/=
7- mafuta( umwagiliaji) Lita 2 kwa siku 90= 450,000/=
8-miti na kamba (kwa nyanya na hoho)= 250,000/=
9- vibarua wawil ( 60,000*2=120,000) kwa miez 4=480,000/=
10- kununua water pump (ya 3'). = 280,000/= hadi 300,000/=
Kama kuna nlichokisahau then ntakijibu kupitia maswali yenu!thanks....
Napenda kufahamu hizo gharama hapo juu ni kwa kila ekari moja ya shamba au kwa ni kwa ukubwa gani?tks
Yap hizo gharama ni kwa eka moja mkuu!
Nashukuru kuona watu wenye nia kama Yangu. Hongera Dada nitaluv mie nina nia hiyo na tayari nishanunua eneo la ekari 100 mzenga-kisarawe. 90km kutoka Ubungo kupitia mlandizi . Kwa mwaka huu nakusanya nguvu nianze ufugaji wa nyuki na mwaka kesho ntaanza hortculrure. Nadhani tutazidi kuwasiriana kwa ajili ya kupeana uzoefu
Nimependa wazo hilo la kilimo maana mimi mwenyewe nilifanya kilimo hicho mwaka jana japo majanga ya mvua yalinipiga vibaya. Mchakato wako nimeuona nadhani unahitaji kuboreshwa kidogo uweze kuakisi gharama na mapato. Ningependa pia endapo lengo lingekuwa katika kupata ardhi kwa kazi hiyo, maana kukodi kuna limitations nyingi kwa mpango endelevu kama huu. Niko interested na kama hutajali umbali niPM
Mananasi mimi sijawah kulima....ila nimeuliza kwa wataalamu na nikaambiwa eka 1 inaingia hadi miche elfu 18 na mche mmoja ni sh 150-200!so kwa gharama hizo hiyo figure iko sahihi!Nimekusoma vzr.Hiyo gharama ya miche ya nanasi ipo sawa?naona kama typing error!
Are you in morogoro mkuu?!add me in.
Ninao mchakato Wa kitaalamu TGI...unaoelezea gharama na makisio ya mapato!ila hapa nimejitahid kuweka katika njia rahis then tutakapopatikana members then tunaweza kushare zaidi!!
shamba lipo wapi na ukubwa gani? maji yapo? count me IN!Dah...how I wish ungekuwa uko Moro!anyways..tutakutumia hata kwa maon na ushauri!Kama nlivyosema hapo juu lengo ni kuja kuwa na kampun inayozalisha, kuuza na kununua mazao...
ila pia ufugaji uko humo ndani yake!napenda pia ufugaji hasa wa kuku Wa kienyeji na ng'ombe Wa maziwa!nitakutumia kwenye ufugaji kaka...na Jana nimepata info nzuri Sana toka kwa "gaz/eti" through thread yake ya ufugaji Wa kuku Wa kienyeji!thanks
Dada nimependa wazo lako napenda tuwe pamoja lkn sina mtaji naweza kuishi shamba muda wote wa kilimo, kwasasa nipo dar ila nataka kulima dumila morogoro ila mtaji unanitoa jasho