Jicho la Tai
JF-Expert Member
- Oct 10, 2012
- 1,449
- 574
^^
Hata ukipewa kibali (kama sheria inaruhusu) huoni bado utakuwa under observation!
^^
Good idea mkuu but wenye nchi watakubali
Hii kitu kwa level za huku kwetu nakuwa na wasiwasi, wenzetu wamarekani wameruhusu kiasi kwamba hata serikali inawapa tenda hizo taasisi binafsi. Wamewatumia sana "Black water" kufanya ishu za kiintelijensia Libya , Iraq na kwingineko kwa kushirikiana na CIA, endelea kutafuta details mkuu. Mimi huwa na investigate ishu zangu mwenyewe covertly... kila la kheri..
Bila shaka umeshaiona fursa! UKIWEZESHWA UNAWEZA tenda ya kwanza fukuzia kwenda kuchunguza ya Mabilion ya Uswis na Newjersy yarudishwe Tanzania.