Kikundi au Taasisi binafsi ya Masuala ya Intelijensia


HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1,440
Likes
12
Points
135
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
1,440 12 135
Nimekuwa nikiwaza sana juu ya kuanzisha Taasisi au kikundi binafsi ambacho kitakuwa kikijihusisha na uchunguzi binafsi wa masuala mbalimbali.
Swali la msingi nalotaka kujua: Je Sheria ya Tanzania inasemaje katika hili?

Lengo Husika
Kuchunguza mambo mbalimbali na kupata ukweli halisi kwa kutumia kila mbinu inayowezekana bila kuvunja sheria. mfano. Mtu ana kesi na sehem yeyote, kazi yetu itakuwa ni kufanya uchunguzi wa Siri sana na kupata ukweli kisha ukweli ule inapewa mahakama ama wakili aliyehitaji ushahidi husika.
Tutakuwa tukitumia vifaa mbalimbali ambavyo sio silaha katika kuchunguza na kupata mambo mbalimbali ambayo yanaweza kuleta faida kwa taifa, kundi ama mtu binafsi kama atapenda na hatutayaweka hayo mambo hadharani bali tutaihusisha idara husika kwa Siri.
Nisingependa kueleza kila kitu ambacho kitafanyika ili kuondoa hali ya Sintofahamu humu ndani.
Asanteni:

by HUNIJUI kwa niaba ya Mawazo yangu
 
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined
May 8, 2013
Messages
5,554
Likes
193
Points
145
Himidini

Himidini

JF-Expert Member
Joined May 8, 2013
5,554 193 145
^^
Hata ukipewa kibali (kama sheria inaruhusu) huoni bado utakuwa under observation!
^^
 
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1,440
Likes
12
Points
135
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
1,440 12 135
Good idea mkuu but wenye nchi watakubali
Ndio maana nahitaji kujua sheria inasemaje kuhusu hili ili nipate mwanga kidogo.
 
O

oyaoya

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2012
Messages
277
Likes
0
Points
33
O

oyaoya

JF-Expert Member
Joined Mar 4, 2012
277 0 33
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1,440
Likes
12
Points
135
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
1,440 12 135
Kuna agency inafanya kama unachotaka kukifanya. Icheki hii hapa
Tanzania Private Investigators and Detectives, Matrimonial Surveillance, Relationship Investigations, Missing Persons, Background Reports, Surveillance, The Tanzania Private Investigators and Detectives - Tanzania Private Investigators and Detectives, Matrimonial Surveillance, Relationship Investigations, Missing Persons, Background Reports, Surveillance, The Tanzania Private Investigators and Detectives
Thanks mkuu. Baada ya kuona hilo nimeona kwamba hili jambo linawezekana. Inabidi nianze kufuatilia namna ya Usajili wa taasisi au mwenye ujuzi anijulishe
 
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
19,504
Likes
224
Points
160
Baba V

Baba V

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
19,504 224 160
Hii kitu kwa level za huku kwetu nakuwa na wasiwasi, wenzetu wamarekani wameruhusu kiasi kwamba hata serikali inawapa tenda hizo taasisi binafsi. Wamewatumia sana "Black water" kufanya ishu za kiintelijensia Libya , Iraq na kwingineko kwa kushirikiana na CIA, endelea kutafuta details mkuu. Mimi huwa na investigate ishu zangu mwenyewe covertly... kila la kheri..
 
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1,440
Likes
12
Points
135
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
1,440 12 135
Hii kitu kwa level za huku kwetu nakuwa na wasiwasi, wenzetu wamarekani wameruhusu kiasi kwamba hata serikali inawapa tenda hizo taasisi binafsi. Wamewatumia sana "Black water" kufanya ishu za kiintelijensia Libya , Iraq na kwingineko kwa kushirikiana na CIA, endelea kutafuta details mkuu. Mimi huwa na investigate ishu zangu mwenyewe covertly... kila la kheri..
ok. mkuu nasisi itabidi ziwepo
 
Makamee

Makamee

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2013
Messages
2,006
Likes
110
Points
160
Age
29
Makamee

Makamee

JF-Expert Member
Joined Nov 29, 2013
2,006 110 160
Bila shaka umeshaiona fursa! UKIWEZESHWA UNAWEZA tenda ya kwanza fukuzia kwenda kuchunguza ya Mabilion ya Uswis na Newjersy yarudishwe Tanzania.
 
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2012
Messages
1,440
Likes
12
Points
135
HUNIJUI

HUNIJUI

JF-Expert Member
Joined Oct 10, 2012
1,440 12 135
Bila shaka umeshaiona fursa! UKIWEZESHWA UNAWEZA tenda ya kwanza fukuzia kwenda kuchunguza ya Mabilion ya Uswis na Newjersy yarudishwe Tanzania.
hahahahahaha hayaa
 
B

buchuja

Member
Joined
Feb 27, 2014
Messages
86
Likes
1
Points
13
B

buchuja

Member
Joined Feb 27, 2014
86 1 13
Mfumo wa kijasusi mgumu sana na hatari sana kampuni binafsi si lahisi kupewa kwani majasusi wako vitengo mbalimbali na wahitaji ulizi wa kutosha pili mbona serikali inamajasusi wa kutosha na wanafanyakazi vizuri tu
 
M

Mponjori

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2011
Messages
2,208
Likes
9
Points
0
M

Mponjori

JF-Expert Member
Joined Feb 21, 2011
2,208 9 0
unazipenda kucha zako?
 
man.d

man.d

Member
Joined
Apr 23, 2012
Messages
40
Likes
2
Points
13
man.d

man.d

Member
Joined Apr 23, 2012
40 2 13
Ni wazo zuri kama kuna way foward naomba kushirikishwa.....
 
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2014
Messages
16,268
Likes
15,437
Points
280
Jambazi

Jambazi

JF-Expert Member
Joined Jan 18, 2014
16,268 15,437 280
Good idea
 
swagazetu

swagazetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2013
Messages
3,985
Likes
336
Points
180
swagazetu

swagazetu

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2013
3,985 336 180
Kama inakubalika naomba niwe amongest.
 

Forum statistics

Threads 1,250,688
Members 481,436
Posts 29,741,829