Kikundi au Taasisi binafsi ya Masuala ya Intelijensia

Jicho la Tai

JF-Expert Member
Oct 10, 2012
1,449
574
Naomba Kujua kwa Tanzania Sheria zinasemaje?

Kuna taasisi nimeona ipo kwa ajili hiyo! je haiwezi kujikuta inachunguza mpaka mambo yanayoigusa serikali?
 
^^
Hata ukipewa kibali (kama sheria inaruhusu) huoni bado utakuwa under observation!
^^
 
Hii kitu kwa level za huku kwetu nakuwa na wasiwasi, wenzetu wamarekani wameruhusu kiasi kwamba hata serikali inawapa tenda hizo taasisi binafsi. Wamewatumia sana "Black water" kufanya ishu za kiintelijensia Libya , Iraq na kwingineko kwa kushirikiana na CIA, endelea kutafuta details mkuu. Mimi huwa na investigate ishu zangu mwenyewe covertly... kila la kheri..
 
ok. mkuu nasisi itabidi ziwepo
 
Bila shaka umeshaiona fursa! UKIWEZESHWA UNAWEZA tenda ya kwanza fukuzia kwenda kuchunguza ya Mabilion ya Uswis na Newjersy yarudishwe Tanzania.
 
Mfumo wa kijasusi mgumu sana na hatari sana kampuni binafsi si lahisi kupewa kwani majasusi wako vitengo mbalimbali na wahitaji ulizi wa kutosha pili mbona serikali inamajasusi wa kutosha na wanafanyakazi vizuri tu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom