Eti Nn..???! Sijaelewa Apo
Dah!!.......tatizo mtoto kafanya ziara ya kushitukiza..wakati mzee sijajiandaa kibaiolojia wala kisaikolojia...........
Mkuu ilinilazimu kuweka rehani kitanda...ili show ifanyike kwa kuwa mashabiki wameshajaa majukwaanii.......Amemfuata jamaa watoke na mshkaji mfukoni hakuko njema
Nipo na dada yake Shy landyuko na nani huyo?!
Hakuna mtani hii mizigo inataka uwe na leseni kubwa kidogo na eksipiriensi ya kutosha........KikulachoChako duh unaniangusha mtani
Hakuna mtani hii mizigo inataka uwe na leseni kubwa kidogo na eksipiriensi ya kutosha........