tuwekee linkJamiiforums Intelligence
Imejadili Kwa Kina Hicho Kikosi Na Thread Yake Ipo Kwa Kirefu Sana
Kipo toka muda mrefu zaidi ya miaka 15 kinaitwa KIKOSI MAALUM KUTULIZA GHASIA MAGEREZANI (K.M.K.G.M) makao yake yako UKONGA kazi yake ni kishushulikia endapo kutatokea ghasia gerezani hasa magereza makubwa ..pia kudeal na utoro katika magereza makubwa.Yaa ni kweli kimezinduwa jana na mh.nchemba pale ukonga kiko vizuri nilivyokiona!!
kwani FFU wamezidiwa??Wako njema....tuwapeleke baadhi wakaongeze nguvu FFU