kikosi cha Taifa Stars...Shabaan Kado yupo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kikosi cha Taifa Stars...Shabaan Kado yupo?

Discussion in 'Sports' started by Vitendo, Oct 28, 2009.

 1. Vitendo

  Vitendo JF-Expert Member

  #1
  Oct 28, 2009
  Joined: Oct 23, 2009
  Messages: 597
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  ndugu zangu,leo nimesoma magazeti mawili yote yametoa orodha ya wachezaji wa Taifa Stars watakao kipiga na Misri hiyo tarehe 5,gazeti moja nimekuta jina la golikipa mahiri wa Mtibwa sukari Shaaban kado ila gazeti jingine sijaona jina hilo.........sasa wadau naomba kupewa ukweli ni upi Kado kaitwa au vp?...pia mnakionaje kikosi hicho?
   
Loading...