Hali iliyoko hivi sasa kumeanza kujitokeza baadhi ya vijana wa CCM wakidai wako tayari kuwashughulikia wapinzani na TEC! Majivuno haya yanatokana na vyama vingine havina vikosi vya ulinzi kwani vilipigwa marufuku.
Ushauri kwa Msajili wa Vyama vya Siasa apige marufuku Uvccm kufanya shughuri zozote za kijeshi.