mkuu bado kisa cha ugomvi wa wazazi hawa hakijafahamika bado. coz wanaofahamu wamekufa na mwingine yupo mahututi.
mi haya hayanihusu babu ...naishi kwa jasho langu mwanzo mwishoUnahuakika??nyie mnatufanya sisi eko bank hii ndi yo out come!
Mimi hapa na mimi na msubiri bibie lara 1 najua atakujua na maneno yakupingana na kauli hizi za kusossomola wanaume maana nawao wameshtuka ukimsosomola kumbuka naye ana "MANATI YA KIZUNGU" Haikopeshi!
Ila kiiukweli jamaa yawezekana aliwekeza sana katuma dolari kila akipewa posho yake ya dollar 37000 kwa mwezi nje ya mshahara anatuma kwa Ufoo Saro na anatumiwa picha ya ghorofa katika Whatsapp jamaa kuona jengo limeisha akaanza kula bata sudani anajua mambo yapo poa ila sasa kurudi bongo hata msingi hauoni anaenda kwa mama mkwe wake kuomba busara mama mkwe anamwambia babue unao ushahidi kuwa ulituma pesa kwa mawanangu??kwanza mwanangu alishakwambia hakutaki iweje umng'ang'anie si hakutaki????wanawake wapo wangapi tafuta mwingine ....................unadhani utafanya nini na una "MANATI YA KIZUNGU"???Wanawake jiangalie wanaume wamechoka kufanywa Visa card!!
dah! Nilikuwa sijapata picha ila saivi nimesikia mshkaji alikuwa hajaridhika na usuluhishi alioutoa mama mtu. Mshakaji akaona mama mtu anampendelea mwanawe. Ndiyo aka......
Na wewe utajiwahisha kama mwenzio????
ikibidi...
KakaKiiza sa hivi inabidi kuwa makin saana....yule kuna mengi yametokea aisee
na ukiwa kuke kajisacrifse kufa na kupona halafu bidada kamchezea shere...we
mtu alitaka kuwamaliza watu wote,,,hadi paka kashutiwa ujue hasira zake hazikuwaa kidogo hata
Mtaufosaroiwa hadi basi jirekebsheni aisee!!
nasikia jamaa ni mjeda ametoka sudan juz kati sijui alikuwa anadhan anaua waasi
nasikia jamaa ni mjeda ametoka sudan juz kati sijui alikuwa anadhan anaua waasi
mbona hujamalizia
kwa wiki hii nipunguze mizinga mie!!!!!
No free lunch
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
Jitahid.....maana me mbishi lakin kws tukio hili mbona nimesanda!!!!
acha tusikilizie music,,,,, sa ivi kila mtu atajidai ana pisto!!!!