mzee wa kasumba
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 1,440
- 2,966
Kwa hiyo walionazo wanatoa tu kwa kila mtu!!?Wanaume wasio na hela bhanaa....
Hvi wewe upoWanaume wasio na hela bhanaa....
Tumefanyaje?Wanaume wasio na hela bhanaa....
Wanaume wasio na hela bhanaa....
Ni jukumu letu kuwahudumia dada zetu, kwa sababu wanatustarehesha na kutuongezea Siku za kuishi, ukishindwa kuwahudumia wapiga mizinga hata mkeo hutaweza kumhudumia, acha kulalamika.
Unajikuta mbabeBinafsi hela imejaa. Ila kama ulinipotezea huko nyuma halaf ukaibuka christmass. Umeisha
NdiyooHvi wewe upo
Ila kupigwa mizinga kuna raha yake maake siku na wewe ukimshika unahakikisha umemaliza kibubu chote.Mke na mpiga mzinga ni watu wawili tofauti. Japo wote wa K
kwani wenyewe hawapati raha na tunaopata raha ni sisi tu midume!?Ni jukumu letu kuwahudumia dada zetu, kwa sababu wanatustarehesha na kutuongezea Siku za kuishi, ukishindwa kuwahudumia wapiga mizinga hata mkeo hutaweza kumhudumia, acha kulalamika.
Wao ni viburudisho vyetu nuktakwani wenyewe hawapati raha na tunaopata raha ni sisi tu midume!?