Kikongwe auwawa usiku huu Biharamulo

Kikongwe auwawa usiku huu Biharamulo

Mapolomoko

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
1,751
Reaction score
422
Leo nimelala shambani. mdahuu tunaamshwa, kwenda kwenyetukio la kuuwawa kwa bibi mmoja. kauwawa na watu wasio jurikana. nikitongoji cha Kibengo, kijiji cha Luziba, kata ya Luziba, Biharamulo Kagera.
 
tatizo nini mkuu, embu tujulishe hapa
 
Unaanzaje kumuuwa binaadamu mwenzio?
Apumzike kwa amani bibi.
 
Leo nimelala shambani. mdahuu tunaamshwa, kwenda kwenyetukio la kuuwawa kwa bibi mmoja. kauwawa na watu wasio jurikana. nikitongoji cha Kibengo, kijiji cha Luziba, kata ya Luziba, Biharamulo Kagera.

Embu funguka!
Usikute huwa bibi aliuwawa kwa tuhuma za uchawi!
 
Eleza tukio ulivyo likuta, mbona umeeleza kwa ufupi?
 
mbona kimya tena mleta mada au na wewe wameshakurestisha,..
 
Back
Top Bottom