Kikombe cha bibi tabora

Kikombe cha bibi tabora

anania

Member
Joined
Jul 2, 2010
Posts
83
Reaction score
8
Jamani ndugu zangu imefika kipindi inatubidi kutumia hata elimu ya ngumbalo au darasa la saba kutambua kuwa hakuna kuoteshwa na Mungu wala nani.

Huyo mama wa Tabora naye kaoteshwa na Mungu? na kuhusu kijana wa miaka 17 Mbeya ipo vipi?

Kinacho fanyika ni kwamba hawa watu walikuwa wanatoa huduma ya dawa hii tokea zamani sema sasa wamesoma majira na nyakati ya kuwa wanatakiwa kutumia dawa zao kuwashika wengi zaidi kwa kudanganya kuwa wameoteshwa,ili jambo hilo liwe kiimani zaidi. na kupata baraka za viongozi wa dini na selikari.

Inasemekana dawa anayotoa huyo mama wa Tabora ina nguvu sawa na kikombe cha babu ndio maana hata bei ni ile ile na foleni ni ndefu inakaribia na ya babu,utofauti ni kwamba kikombe cha mama hakina foleni ya magari.

Na kuna watu wamejitokeza kutoa ushuhuda kuwa wamepona kwa kikombe hicho cha bibi.Kazi kwetu kutenganisha mchanga na dhahabu
 
Yeah, nimeiona hiyo itv! Na bado watajitokeza wengi, they are nothing bt opportunists!
 
Vipi kuhusu, anoited water ya Prophet T B Joshua wa Nigeria?
 
Yesu mwenyewe aliomba kikombe kimuepuke. Wananishangaza sana wanaovikimbilia
 
Hiso ni raman sa watu msee kumbe hujui aisee! Hata mm baada ya mda kidoko nitakuwa natoa kikwembe pia ati!
 
kIKOMBE KIKOMBE KILA CORNER..
NI BORA FOLENI YA BABU IPUNGUE
 
tiba serikali imesharidhia... sasa kila mtu ataibuka na kikombe chake..
 
wataota sana mwaka huu, na hivi sirikali yetu ndio wanaongoza kwa kuvikimbilia vikombe...!
 
Na wakaribisha wote kupata Glass nusu sio kikombe wala bilauri kazi kwenu natibu mpaka Mateja wa bhangi mirungi na Unga,Glass ni Tsh.300 Tu! karibu wale wa TB pia wanapona ila baranga sina dawa
 
Back
Top Bottom