kikombe cha babu

hyle master

JF-Expert Member
Joined
Jan 27, 2013
Posts
209
Reaction score
23
Habarini wakuu

Nakumbuka pale Babu wa Loliondo alipo tangaza tiba kwa ajili ya magonjwa sugu kama vile ukimwi n.k
Umati wa watanzania walikusanyika kuweza kupata tiba hiyo lakini jiulize????????? watu wangapi wali
acha shughuli zao na kwenda kupata tiba hiyo, je walifanikiwa kutokana na tiba hiyo, watu wangapi
wametoa ushuhuda kuhusiana na kupona kwao, ni vigumu kujua hayo lakini kwahali ya kawaida unaweza usiulize
maswali hayo jaribu kuangalia hali iliyopo sasa jibu utakua nalo ........
 
Kwa hiyo unataka kusema nini hapa, dogo
 

una maruweruwe ya usingiz nn
 
Mwacheni Babu ale vyake..hakumkaba mtu!
IMANI YAKO NDIYO INAYOKUPONYA.
 
Hivi huyu jamaa mnamuelewa jamani au kwasababu sijala!ngoja nikale kwanza halafu nikirudi nimsome tena labda ntamuelewa ana maana gani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…