Evance dixon New Member Joined Dec 3, 2020 Posts 1 Reaction score 0 Aug 24, 2022 #1 Habari zenu wadau naomba kujuzwa kikokotoo cha pension cha zaman kilichokua kikitumika kukokotoa mafao ya watumishi wa serikali
Habari zenu wadau naomba kujuzwa kikokotoo cha pension cha zaman kilichokua kikitumika kukokotoa mafao ya watumishi wa serikali
BabaDesi JF-Expert Member Joined Jun 30, 2007 Posts 6,228 Reaction score 4,194 Aug 24, 2022 #2 Evance dixon said: Habari zenu wadau naomba kujuzwa kikokotoo cha pension cha zaman kilichokua kikitumika kukokotoa mafao ya watumishi wa serikali Click to expand... ...Sio Mahali Pake...!
Evance dixon said: Habari zenu wadau naomba kujuzwa kikokotoo cha pension cha zaman kilichokua kikitumika kukokotoa mafao ya watumishi wa serikali Click to expand... ...Sio Mahali Pake...!
SOLOMO JF-Expert Member Joined Jun 28, 2012 Posts 267 Reaction score 81 Sep 10, 2022 #3 Kikokotoo limbikizi ni 1/540, kadirio la miaka ya kuishi baada ya kustaafu ni 15.5 na kiwango cha mkupuo ni 50% ya pensheni.
Kikokotoo limbikizi ni 1/540, kadirio la miaka ya kuishi baada ya kustaafu ni 15.5 na kiwango cha mkupuo ni 50% ya pensheni.