Kikohozi zaidi ya wiki tatu bila ya kupona

kizi57

Member
Jul 27, 2011
30
6
Wadau, nmepata kikohozi zaidi ya wiki tatu nimepambana na ampiclox dozz imeisha ngoma bado ngumu, nilikunywa na syrup ya actifed na methoded bado. Nimekutana na jamaa wengine wawili wana story kama hii, ni upepo gani umepita Dar safari hii..?
 
TAFUNA ABDALASIN NA KITUNGUU SWAUMU,NI TIBA SAF SANAA,WALAU SIKU MBILI HIVI
 
Unabahati ya kushuhudia maombokezo yako.

RIP in advance!
 
Wadau, nmepata kikohozi zaidi ya wiki tatu nimepambana na ampiclox dozz imeisha ngoma bado ngumu, nilikunywa na syrup ya actifed na methoded bado. Nimekutana na jamaa wengine wawili wana story kama hii, ni upepo gani umepita Dar safari hii..?
Kama haujawahi kutumia dawa za minyoo karibuni nenda kapime minyoo. Inaweza kuwa ni minyoo hasa kama ni kikoozi kikavu kisichoisha kinachokusumbua
 
Back
Top Bottom