Kuna jambo linatafutwanawakumbusha tu ID ni mpya hii pita kwa busara
Acha upotoshaji,mimi nimeangalia akaunti za taasisi hakuna hivyo vitu,nyie mbona mnapenda upotoshaji sana.Kuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa
Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka
Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
Majizi ya chademaHao majizi wawe na huruma
Tangu wameanza kujipigia nani akakamatwa mkuu?Siku zote serikali ina mkono mrefu. Wajipigie Tu IPO siku zitawatokea puani,
Umeongea kitu kikubwa sana mkuu.nawakumbusha tu ID ni mpya hii pita kwa busara
Sema CCM ni majiziKuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa
Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka
Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
Mbona hamna cha ajabu hapo ni utaratibu wa kawaida sanaKuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa
Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka
Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
Nimekuelewa vyema na hii akishasema hivi ndio basinawakumbusha tu ID ni mpya hii pita kwa busara
Uhakikaaa au ndio mkikamatwa muanze kusema nanyi mmesikiaKuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa
Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka
Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni
Comment hii ya mtu aliyekata tamaa, mtu anachota hela sisi tunasubiri waje wengine wamshughulikie atoe hizo hela puani.Siku zote serikali ina mkono mrefu. Wajipigie Tu IPO siku zitawatokea puani,
Tetesi halafu unataka tuliombee taifaKuna tetesi za akiba ya Taifa kutafunwa
Magenge yanahamisha pesa miamala kwa miamala kwa kujiandaa kuondoka
Tuliombee Taifa pesa zinachotwa mabilioni kwa mablioni