Labda kama wanarudia hizo picha. Au una maana nyingine ya sekondari?
Wakati nipo primary tulikuwa tunalipa ada kwa mwaka TZS 20. Halafu sekondari o'level, private day ilikuwa 1600 kwa term.
Halafu wakati huo wa primary Rais alikwa Hayati Mwalimu Nyerere.