Lycaon pictus
JF-Expert Member
- Jan 31, 2021
- 11,609
- 20,516
Dini ni Ukiristo madhehebu yao ndo Anglicani katoliki nk.......hao wote imani yao ni moja wana chukua Yesu kua Mungu na Mary kua Mama wa Mungu very ridiculous....Nakumbuka niliona kwenye katiba kuwa kila dhehebu linasajiliwa kama dini. Hivyo basi, hakuna dini ya ukristo ila kuna dini za Aglican, Katoliki, Lutheran, Moravian, nk, nk. Sijajua upande wa Uislamu husajiliwa namna gani. So kisheria nchi yetu ina dini nyingi sana.
Humu hatutukanani bila sababu.Ndio nenda kaangalie sasa katiba isome vizuri uje utuambie. Unasoma nusunusu halafu unataka nani akamalizie huo ujinga.
Katibu haitambui madhehebu, hayo unayoita madhehebu katiba inatambua ni dini.Dini ni Ukiristo madhehebu yao ndo Anglicani katoliki nk.......hao wote imani yao ni moja wana chukua Yesu kua Mungu na Mary kua Mama wa Mungu very ridiculous....
Peleka ujinga wako FacebookHumu hatutukanani bila sababu.
We ndiye unataka kuleta mabishano yasiyo na tija.Mkitoka kwenye dini mtahamia kwenye siasa. Baadhi ya vijana wa Tanzania hupenda kuutumia muda wa kutafuta riziki kwenye mabishano yasiokuwa na tija.
Umetoka lini facebook? maana naona bado mgeni huku.Peleka ujinga wako Facebook
Weka hoja zenye mashiko. Wewe ni mjinga.Umetoka lini facebook? maana naona bado mgeni huku.
Sio Kwa mapenzi ya Mwanadamu, Bali Mapenzi Ya Mungu.Dini ni Ukiristo madhehebu yao ndo Anglicani katoliki nk.......hao wote imani yao ni moja wana chukua Yesu kua Mungu na Mary kua Mama wa Mungu very ridiculous....
Katiba haitambui dhehebu, inatambua dini. Hayo madhehebu yote ni dini.Kwanza Dhehebu na Dini ni vitu viwili tofauti