Yericko Nyerere
JF-Expert Member
- Dec 22, 2010
- 17,027
- 20,518
Wakuu,
Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao hicho imenasa kila kitu pasina chembe ya mashaka,
"Taarifa ya uhakika niliyonayo, leo pamefanyika kikao cha chadema wilaya ya kigoma mjini (manispa)
Waliohudhuria ni wenyevit wa kata meza kuu walikuwepo Shaban Mambo (mwkt. kanda ya magharib) mwalim Adam (mwkt. wilaya kgm mjin) Athman kabogo (katb. wilaya kgm mjn) Bakari Beji (meya kgm manispa) Rashid Ruhomvya (makam meya kgm manispa na ktb wa vijana mkoa, katb mwenez mkoa) na madiwani angenda kuu zilikuwa ni kumuunga mkono zitto na kuwashughulikia wampingao zitto hasa uongoz wa kanda maazimio kumuunga mkono zitto kwa maamuz yoyte atakayochukua, kuwafukuza viongoz wa kanda au kawafukuzisha"
Chadema inamuona muovu yeyote mpaka rohoni,
"Kabla ya Mtu, palikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, pana Mtu".
Picha tafadhali ?
Au hata (oudio) za kikao.
kuifanyia hila chadema ni kuipaisha,jambo hili nalisema kila mara kwa nini hamnielewi?Wakuu,
Intelijensia iliyopandikizwa katika kikao hicho imenasa kila kitu pasina chembe ya mashaka,
"Taarifa ya uhakika niliyonayo, leo pamefanyika kikao cha chadema wilaya ya kigoma mjini (manispa)
Waliohudhuria ni wenyevit wa kata meza kuu walikuwepo Shaban Mambo (mwkt. kanda ya magharib) mwalim Adam (mwkt. wilaya kgm mjin) Athman kabogo (katb. wilaya kgm mjn) Bakari Beji (meya kgm manispa) Rashid Ruhomvya (makam meya kgm manispa na ktb wa vijana mkoa, katb mwenez mkoa) na madiwani angenda kuu zilikuwa ni kumuunga mkono zitto na kuwashughulikia wampingao zitto hasa uongoz wa kanda maazimio kumuunga mkono zitto kwa maamuz yoyte atakayochukua, kuwafukuza viongoz wa kanda au kawafukuzisha"
Chadema inamuona muovu yeyote mpaka rohoni,
"Kabla ya Mtu, palikuwa na Mtu, na baada ya Mtu, pana Mtu".
Washindwe na mipango yao miovu dhidi ya CDM katika JINA LA YESU.
Kwani hao ni wahusika nje ya chama? Si wana cdm? Kwa nini mnaweweseka sana? Tulieni tu ndipo mtakapojua nguvu ya ZittoHizo ni nyaraka nyeti, ikiwa wahusika watakuja kukanusha, basi zitawekwa hapa.