Kikao Maalum Cha Siri Wabunge wa CCM Mchana Huu Bungeni!!


pamoja na system pia hata hili lichama viongozi wake wamekuwa walevi wa madaraka wakiamini wao watakuwa watawala milele
 

asijiudhulu = kujiuzulu
 
Serikali ikianguka leo au kesho. Napendekeza makamanda wafanye mikutano kadhaa kwa ajili ya kuwaambia wananchi kuwa hata hilo baraza jipya litakaloundwa litafanya yale yale.
 

Mkuu sijui umerudi kwa kasi ile ninayoijua au ni haya ya ka upepo tu!!!

Good to see you...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Kabisa ,hiyo replacement watakuja kuvaa viatu na suti zilezile ,wakiimba na kucheza muziki ule ule,we need to change the tunes!
 

Tatizo la nchi yetu ni kitendo cha wafanyabiashara kujiingiza kwenye siasa na kujikuta wanaumiliki mfumo wa usalama wa taifa ie TISS, leo watu wa usalama wanafanya kazi za siasa na kuwalinda wafanyabiashara
 
Nakwambia hamna msafi ccm hivyo ni kujiongezea gharama bure. Maana hata hao watakaotolewa uwaziri watapewa shavu sehemu nyingine,ulishawahi kuona wapi jk kawatupa makada wa ccm. Embu kumbuka Batlida,Marmo na wengne wengi wako wapi. Dawa ni kuiondoa ccm na siyo mawaziri wa ccm.
 
Sidhani hao mawaziri wakijiuzuru kuna kitachobadilika.Tutabadili watu hadi tuchoke.Hawa mawaziri wanachinjiwa baharini tu wazee!

CCM hakuna mtu wa kuwa waziri makini, wote ni walewale watabadilisha mpaka kila mbunge ataonja uwaziri lakini matokeo ndo yatazidi kuwa ovyo, labda achukue akina Lissu wamsaidie
 

na kuhakishia uliyo yaandika hayato pata kutokea.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…