Shine
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 11,483
- 1,364
My sentiments exactly.
Tunaangalia watu badala ya kuangalia mfumo.
Katika mfumo ambao hauna uwajibikaji, ambao mawaziri ni kama miungu
watu, ambao kulindana kivyama kunazidi yote, ambao wabunge hawana uhuru
juu ya executive, ambao hakuna watu wenye integrity na vision ya
kukubali lawama kwa ajili ya kile wanachoamini, hata tukibadili baraza
lote la mawaziri, watakaokuja wataanguka katika mitego ile ile tu.
We have systemic problems, the solution is not to change people, let's
change the system.
pamoja na system pia hata hili lichama viongozi wake wamekuwa walevi wa madaraka wakiamini wao watakuwa watawala milele