Kikao hiki cha Lisu kilivunja moyo watanzania wengi

Elitwege!
Hivi zile tuhuma za aliyewahi kuww kiongozi wa ngazi ya juu ya uvccm kuwa aliolewa Mombasa ziliwahi kukanushwa hapa?
Na tuhuma nyingine zilizothibitishwa na msemaji mkuu wa serikali baada ya kuibuliwa na gazeti linalomilikiwa na mwanaccm na mwanaharakati huru ziliwahi kukanushwa na watuhumiwa?
Kama ndivyo na zimebaki Kama zilivyo huoni Kama chama chako Cha ccm ambacho watuhumiwa ni wanachama hai ndicho kinachoasisi na kulea ushoga?
Au nawe ni mmoja wao unataka kujificha kwenye kivuli Cha kikao ulichokiita Cha Siri na ambacho mazungumzo na ajenda za waliokutana hazijawahi kuwekwa hadharani? Usijifiche nyuma ya usnitch Toka hadharani ututhibitishie ulikozipata taarifa za kikao Cha Siri!
Siku nyingine uandike jinsi ccm inavyolea ushoga!
 
KAMA ilivyo kawaida ya Uhuru wa kutoa maoni yangu, leo nimeamua nitenge muda niandike kidogo kuhusu tabia chafu ya USHOGA ambayo inatendwa na baadhi ya watu pia kushadidiwa na baadhi ya wanasiasa na wanaharakati uchwara kwa kutumia mgongo wa Haki za binadamu pasi ya kuangalia Utu na asili ya utamaduni wetu; pamoja na, sheria zetu hapa Tanzania. Naomba twende pamoja!

IKUMBUKWE kwamba Mwezi Feb 09, 2019, Tundu Lisu aliweza kukutana na Mtetezi Mkuu wa Ushoga na Usagaji (LGBT) ambaye ni Congressman Brad Sharman na kufanya kikao cha Siri ambacho badae Watanzania na Ulimwengu tulipata taarifa kupitia media za kimataifa. Kikao hicho kilifanyika Jijini Washington DC nchini Marekani. Bilashaka katika kikao hicho Tundu Lisu alikuwa anapokea maagizo namna ya kuwatetea na kueneza suala la Ushoga.

KIMSINGI, nimetafakari nikaona nielezee namna gani Ushoga umepingwa na kukataliwa katika miktadha tofauti.
Suala la Ushoga ambalo Mbunge mstaafu Tundu Lisu anatakiwa ajitafakari ni kupitia maeneo yafuatayo:

MTAZAMO WA KIDINI UNASEMAJE KUHUSU USHOGA?

KATIKA imani ya Dini ya Kiislamu Mwenyezi Mungu mwenye kuabudiwa ameweza kushusha maono kupitia Quran Tukufu ambayo inasema: "Je, mnamuingilia mwanaume mnaacha alichokuumbieni Mola wenu katika wake zenu? Kweli ninyi ni watu mnaoruka mipaka"- (26:165). Kimsingi makatazo haya yananifanya nijiulize zaidi kuhusu tabia na mienendo ya Mbunge mstaafu wa Singida Tundu Antipas Lisu kwamba hana marafiki wenye imani hii ambao wanaweza kumshauri uharamu wa kushabikia na kushiriki Ushoga?

KWA upande mwingine katika Dini ya Kikristo kupitia maandiko matakatifu ya Biblia yanasisitiza dhahiri kwamba ushoga ambao Lisu anautetea ni dhambi. Ukisoma maandiko katika Mambo ya Walawi 18: 22 inasema "Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke; ni machukizo." Je makatazo haya anayafahamu? Tundu Lisu ambaye ni mkristo kwanini anapingana na imani yake? Ni nini kinampa nguvu ya kutetea Ushoga kwa kushiriki Vikao hata vya siri?

PIA Warumi 1:26-27 nayo inasema "Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tamaa zao za aibu, hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasiyo ya asili; wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao" Pia ukisoma Wakorintho wa kwanza 6:9 bado inasisitiza kukemea na kulaani udhalimu huu wa Ushoga. Je, Tundu Lisu ambaye ni Mtanzania tunamtenganisha vipi na ushoga? Kwa nini anavutiwa kushiriki vikao vya mashoga?

KWA vyovyote vile Tundu Lisu hawezi kujitenga na Ushoga! Kimsingi pamoja na makatazo ya dini zote mbili nimejiuliza maswali mengi kuhusu uhusiano wake na washiriki wa Ushoga. Ni nini kinamsukuma Tundu Lisu kuunadi Ushoga ambao dini zote zimepinga? Kuna mashirika gani yanampa nguvu ya kushiriki mikutano na vikao vya mashoga.? Nini anavizia? Ananufaika na nini kwa kutetea Ushoga.

UTASHI WA WANYAMA KATIKA KUJAMIIANA LIWE SOMO PIA KUKEMEA USHOGA KWA BINADAMU.

KITENDO cha Ndg.Tundu Antipas Lisu kilinifanya niende mbali kuyatazama hata maisha ya wanyama katika mienendo yao.

KIMSINGI nilijipa muda kuwatafakari wanyama ambao sisi binadamu tunawashinda katika kufikiri na kutafakari, ila pamoja na kuwazidi wanyama kwa kukosa Utashi na ufahamu katika kufikiria kama binadamu lakini hawajawahi kukosea kuingiliana kinyume na maumbile au kushiriki tendo wakiwa jinsia moja, kwa maana wana nidhamu katika tendo hili.

Ni nani anaweza kuiaminisha jamii ya Waafrika (Tanzania) kwamba alishawahi kushuhudia mnyama dume anampanda dume mwenzake? Jibu ni hakuna! Hii ni kudhihirisha kuwa mnyama ametambua kuwa kumpanda dume mwenzake ni nje ya mfumo wa maisha yake. Pamoja na kwamba hawa ni hayawani lakini wanajistiri, ijapokuwa hata wao wangetenda hayo usingekuwa mfano wa kuigwa na Sisi wenye utashi!

HIVYO najiuliza saana namna huyu Ndg. Tundu Antipas Lisu anashadidia Ushoga huku akijua hata wanyama hawajawahi kukosea kuishi maisha ya kuingiliana kinyume na maumbile. Je, hapa ina maana amezidiwa na wanyama katika kufanya tafakuri ya kufanya tendo la ndoa kiasi kwamba anapigania hoja ya haki za Mashoga?

KWA hali hii Tundu Lisu anajitengaje na Ushoga? Pia nimejiuliza sana kwamba huyu aliyekuwa Mbunge wa Singida Mashariki ndg. Tundu Antipas Lisu anafanya yote haya kwa faida ya nani? Je huyu Lisu yupo tayari mwanae wa kiume achumbiwe? Yupo tayari yeye kuingiliwa au mtu wake wa karibu wa kiume kuchumbiwa na mwanaume?

KIMSINGI, malumbano ya hoja kuhusu uhalali au uharamu wa ushoga hayafai Kwa watu wenye urazini. Kuna kipindi malumbano haya yaliingia bungeni Kwa kubezana wakati WABUNGE wa Chama fulani walipowatuhumu wenzao kujinasibisha na ushoga! Leo yanaanza kuwa kweli. Tundu ameamua kupiga picha nje ya ukumbi wa kongamano la mashoga!!!

Ni hatari iliyoje Kwa taifa letu!
Umemsingizia Tundu Lissu kwa miaka mingi je umefaidika nini?
 
Utashangaa siku ukijua ya undani mwake kwa nini alikutana na huyo jamaa. Yeye anasema tusitake kujua mtu anachofanya akiwa chumbani mwake. Unakumbuka amekuwa akitwambia hivyo!!. Kuna siri kubwa lakini kidogo kidogo inaanza kujulikana. Nawahurumia sana washabiki wake.
 
MUDA ULIOUTUMIA KUANDIKA HUU UTUMBO ...BORA HATA UNGEUTUMIA KUPIGA PUNYETO ILI UPUNGUZE UCHUNGU NA STRESS ZA MAISHA ULIYONAYO..HUYO LISSU HUTOKAA UMFIKIE UMAARUFU,WASIFU WAKE NA HATA UTAMBUZI WAKE KISERIKALI..
 
Mashoga na magaidi ni maarufu mno
 
Utashangaa siku ukijua ya undani mwake kwa nini alikutana na huyo jamaa. Yeye anasema tusitake kujua mtu anachofanya akiwa chumbani mwake. Unakumbuka amekuwa akitwambia hivyo!!. Kuna siri kubwa lakini kidogo kidogo inaanza kujulikana. Nawahurumia sana washabiki wake.
Ndiyo maana hata kura milioni 2 hakufikisha
 
Back
Top Bottom