Kikao Dodoma Hotel

Mwaka huu tutaona mengi,Lowassa ciku zinapozid kwenda anawabana wenzake ma------,Lowasaa tunaomba uwache hata wenzako wapumue,kila kitu lowasa,lowassa,chezea masai ww kama ni football lowassa ni messi
 
Tangazo la Watunisha Msuli,La Dodoma Hotel na Hilo la (Allan Badri) alivotamka ndugu Pandu Ameir Kificho ni kupunguza joto na kuwarudisha katika hali ya kawaida Wajumbe. NI UTANI aka STRESS RELIEVER.
 
we sio mzima, umevurugwa, unaongea habari za Lowasa leo, yulyule fisadi au Lowasa yupi unayemsema.
 
Wanataka waelimishane kuwa wawe wamoja kama ilivyopitishwa katika Bunge kwenye mwenyekiti wa wa kudumu
 
Tar.1 April bado,mlokosa kuangalia live bunge mtachangia hii thread weeeeeee
 
Magwiji wa Siasa kutoka CCM watakutana Dodoma Hotel. Unadhani nguri hawa
Membe
Sitta
January
Lowassa
Wassira wana mkakati gani?

wana mkakati wa kisiasa mkuu, maana hao sio ndugu wala marafiki:biggrin1:
 
Tatizo ni kujadili haya makapi ambayo miaka 53 yameshindwa kuja na jibu la matatizo yetu, leo Dodoma hotel wataleta jipya lipi kama sio mgawanyo wa madaraka kwa faida yao wenyewe???
 
hv mmesikia lile tangazo...hamna muda wala mahali pa kukutana tena aliyewaita akutajwa....??
 
Watanzania tumeiona hekima ya Mzee Warioba na tume yake. Watanzania waliipa tume ile maono ya Tanzania inayohitajika kuanzia sasa kwenda mbele. Tunangoja kwa hamu kuona kuwa Mzee Sitta atakuwa na hekima na maono yaleyale? Naona wote wana mvi! Tutapambanua kama mvi ni alama ya hekima au vinginevyo.
 
Akili yako imejaa matusi mnakosesha cdm kura
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…