Sema tu uliumbuka ulipo PM msela ukakuta njemba!...hahahhahah!......mtakoma tabia za kutaka urafiki kisa tu ngono!....bado watu wanapoteza maisha kwa sababu ya kuPM strangers...pole!....hii ni JF"GREAT THINKERS"......na ni huru....hii mada haina mshiko wowote.....funguka akili bwana.