M Masonjo JF-Expert Member Joined Aug 8, 2010 Posts 2,724 Reaction score 1,119 Jun 20, 2015 #61 Kigoma 2015 said: naona unaweweseka na bado.................... Click to expand... Naweweseka mie au wewe?soma kichwa cha habari cha thread alafu linganisha na ulichoandika. Naona ata ukilala usiku uwa unamuota Zitto. Mtu mpaka kufikia hatua ya kujibatiza jina la Kigoma sababu ya Zitto?hivi huyu Zitto ana nin cha ajabu?msimpe title asiyokuwa nayo.
Kigoma 2015 said: naona unaweweseka na bado.................... Click to expand... Naweweseka mie au wewe?soma kichwa cha habari cha thread alafu linganisha na ulichoandika. Naona ata ukilala usiku uwa unamuota Zitto. Mtu mpaka kufikia hatua ya kujibatiza jina la Kigoma sababu ya Zitto?hivi huyu Zitto ana nin cha ajabu?msimpe title asiyokuwa nayo.
Anna Deo JF-Expert Member Joined Jul 10, 2011 Posts 608 Reaction score 420 Jun 20, 2015 #62 DuppyConqueror said: Tatizo Ukawa ni kundi la viongozi wenye malengo tofauti. 1.Mbatia anataka support ya kuwa mbunge wa Vunjo- hana interest ya Ukawa kuchukua nchi 2. Lipumba na CUF aim kubwa ni kuongeza majimbo/ viti bungeni 3. Chadema wana lengo ya kukamata dola Click to expand... Mmmh,lengo kuu la ukawa ni kukamata dola,ambalo ndo lengo la chadema
DuppyConqueror said: Tatizo Ukawa ni kundi la viongozi wenye malengo tofauti. 1.Mbatia anataka support ya kuwa mbunge wa Vunjo- hana interest ya Ukawa kuchukua nchi 2. Lipumba na CUF aim kubwa ni kuongeza majimbo/ viti bungeni 3. Chadema wana lengo ya kukamata dola Click to expand... Mmmh,lengo kuu la ukawa ni kukamata dola,ambalo ndo lengo la chadema
libeva JF-Expert Member Joined Mar 25, 2015 Posts 4,477 Reaction score 3,641 Jun 22, 2015 #63 zoom me said: Tulia ww co mshauri was cdm unawashwa na nn? Mkuu Click to expand... October si mbali watachukua wanaweka wa!!!!
zoom me said: Tulia ww co mshauri was cdm unawashwa na nn? Mkuu Click to expand... October si mbali watachukua wanaweka wa!!!!