ng'adi lawi
JF-Expert Member
- Sep 27, 2014
- 2,956
- 1,116
Ukawa mgekuwa na lengo la kusogea mbele mgefanikiwa lkn target ya kuchukua dola kwa 2015 itawapoteza bado mu wachanga sana wingi wa watu siyo sababu ya kuwa ndio uwezo wenu kwani mambo mengi mmekuwa mnafanya ki shabiki tuu na kelele nyingi huku mkitegemea nguvu ya umma huo cyo ukomavu wa kisiasa hamfai bado.
Mkuu kuandika tu haitoshi, watu wanahitaji vitendo. Misahafu ya Mwenyezi Mungu ina mengi mazuri na bado watu hawafuati.
Chadema nje ya ukawa ni wepesi kama karatasi,
Hivyo hawana ubavu wa kujitoa ukawa.
Wakijaribu kujitoa chama kimefia hapohapo.
Ongea kama mtu mwenye kichwa bwana!! Unapozungumzia UKAWA, unakuwa unazungumzia Cdm, sasa wewe unaposema eti ikijitoa ndio mwisho wake!!? hata kama ni mahaba sio ya hivi, huo ni ujinga, Hao cuf, nccr na nld, wanafanya mikutano wapi ya kuhamasisha watu wajiandikishe?? kama sio cdm ambao hawalali, usiku na mchana, najua kuwa mnaandaa mamluki eti wawagombanishe ukawa, na mnaona endapo UKAWA, Ikisambaratika muathirika mkubwa ni CHADEMA, kwani hivyo vikura vikianza kugawanwa ndio pona yenu,, angalia BAVICHA, BAWACHA, hakuna kulala, nyie UVCCM, mko kwenye kazi ya UKUWADI tu kwa wagombea, sio maneno yangu, ni ya mwenyekiti wenu, huku UWT wao nao wako kwenye ushonaji madela tu!!! mwaka huu hata mkifunika kombe mwanahalamu hapiti. Ukawa inawanyima usingizi sana, tukutane October 25
kwa hiyo mheshimiwa unaona CCM iliyoporomosha uchumi ikitoa dola kutoka 650 mpaka 2250 ndani ya miaka kumi, ikilazimisha katiba iliyo tofauti na iliyopendekezwa na wananchi, inayolazimishia sheria zinazokandamiza raia ndiyo inafaa zaidi kuliko UKAWA iliyojaa vichwa vilivyowashauri zaidi ya mara moja juu ya kufufua viwanda vya ndani ku boost uchumi, ukawa inayotetea katiba iliyopendekezwa na wananchi, inayosimama dhidi ya sheria zinazomkandamiza raia? Sasa wewe hao unaowaona mashabiki tu, UKAWA wanajua ndiyo wapiga kura wao na kama siyo kura za hao watu wengi zitakazowapa uongozi basi ni nini? kwenye siasa nguvu ya umma ndiyo kila kitu, unafikiri ni bure lowassa kukodisha gari zote za usafiri mbeya akabebee watu aliowanunua kuudhuria vikao vyake ili aonekane ana support kubwa ya umma? mambo yamebadilika ndugu, ni kweli ukawa tuna support kubwa na viongozi wenye uwezo mkubwa wa kufikiria na kutatua matatizo na ndiyo sababu tunastahili dola kuliko ccmUkawa mgekuwa na lengo la kusogea mbele mgefanikiwa lkn target ya kuchukua dola kwa 2015 itawapoteza bado mu wachanga sana wingi wa watu siyo sababu ya kuwa ndio uwezo wenu kwani mambo mengi mmekuwa mnafanya ki shabiki tuu na kelele nyingi huku mkitegemea nguvu ya umma huo cyo ukomavu wa kisiasa hamfai bado.
Ni kikao cha tatu sasa umoja katiba ya wanainchi vimeshindwa kufanyika baada ya Chadema kutoa udhru wa kutingwa na shughuli ndani ya chama, lakini wadau wa siasa wamebashiri ndio mwisho wa ukawa hii ni baada ya NCCR na CUF kupeleka vigezo vyao ambavyo inaonekana Kama kuitoa Chadema katika mbio za urais wa ukawa.
watu mnaosapoti ukawa ni vichwa, sasa wewe ungeongoza nchi ingawa huitwi doctor na uhakika hata dola ingekua labda 1000 sasa hivi, unachanganua mambo kisomi,hauropoki hovyo na unalenga kunako . asee kwanzia leo mimi ukawa, kadi yangu ya uanachama wa ccm nimempa house geli akazombee kinyeshi cha mtoto,na by the way tisheti zao ni nzuri kweli kwa kudekia. unajua nini? logically speaking, UKAWA ni UMOJA WA VYAMA VINAVYOSAPOTI KATIBA YA WANANCHI, sasa mwananchi yeyote anayeipinga ni MOJA KATI YA WANANCHI WANAOSAPOTI KATIKA YA MAFISADI, na bila shaka kama viongozi wao wamehamasishwa na kitu kidogo kusaliti wananchi wenzao, shame on them. kwifo nichaaOngea kama mtu mwenye kichwa bwana!! Unapozungumzia UKAWA, unakuwa unazungumzia Cdm, sasa wewe unaposema eti ikijitoa ndio mwisho wake!!? hata kama ni mahaba sio ya hivi, huo ni ujinga, Hao cuf, nccr na nld, wanafanya mikutano wapi ya kuhamasisha watu wajiandikishe?? kama sio cdm ambao hawalali, usiku na mchana, najua kuwa mnaandaa mamluki eti wawagombanishe ukawa, na mnaona endapo UKAWA, Ikisambaratika muathirika mkubwa ni CHADEMA, kwani hivyo vikura vikianza kugawanwa ndio pona yenu,, angalia BAVICHA, BAWACHA, hakuna kulala, nyie UVCCM, mko kwenye kazi ya UKUWADI tu kwa wagombea, sio maneno yangu, ni ya mwenyekiti wenu, huku UWT wao nao wako kwenye ushonaji madela tu!!! mwaka huu hata mkifunika kombe mwanahalamu hapiti. Ukawa inawanyima usingizi sana, tukutane October 25
hawa watu wana nia ya kutenganisha ukawa, tukianza kuhesabiana majimbo na kunyoosheana vidole kuwa sisi cdm tuna wengi kuliko cuf tutaleta ushindani baina yetu na mwishowe tutatengana. sisi ni ukawa, sifa yetu ni hekima,akili,magezi, ujiniasi na ukichwa. sisi ni wa moja, tunajua kuwa akipata cuf tumepata cdm na alipopata cdm kapata cuf na nccr pia. inawezekana kuwa cdm ina wabunge wengi kuliko cuf ila kama ukawa tuna wabunge wengi kuliko chadema au cuf au nccr alone. kaka yangu katika chadema, kwa tulivyowabana ccm hawaponyoki hata wavue nguo halafu wajipake grisi..bas tulieni kama mnanyolewa wengi wengi hamjui kinachoendelea ndani ya UKAWA mnalopoka tu eti mtu anasema cdm nje ya ukawa ni kama karatasi mshasahau tuna wabunge wengi kuliko mpzn yeyote tena kwenye miji mikubwa teh teh teh
hawa watu wana nia ya kutenganisha ukawa, tukianza kuhesabiana majimbo na kunyoosheana vidole kuwa sisi cdm tuna wengi kuliko cuf tutaleta ushindani baina yetu na mwishowe tutatengana. sisi ni ukawa, sifa yetu ni hekima,akili,magezi, ujiniasi na ukichwa. sisi ni wa moja, tunajua kuwa akipata cuf tumepata cdm na alipopata cdm kapata cuf na nccr pia. inawezekana kuwa cdm ina wabunge wengi kuliko cuf ila kama ukawa tuna wabunge wengi kuliko chadema au cuf au nccr alone. kaka yangu katika chadema, kwa tulivyowabana ccm hawaponyoki hata wavue nguo halafu wajipake grisi..
eh! na wewe vipi tena? umefikira ukiwa umesimama kichwa chini miguu juu au? kwasababu hiyo ipo inverse, ZITTO KAPWAYA BILA CHADEMA. CHADEMA haikujipachika UKAWA, tena ndiyo iliyopropose the union, kujipachika inamaanisha ukawa ingetakiwa iwepo kabla hata ya chadema. hawa watu bana, ccm inawatoa wapi nyie?Chadema bila Zitto ilipwaya kama kishada ikajipachika kwenye UKAWA ambao ndio mpaka sasa chadema Inapumulia, So bila ukawa chadema ni pumba tupu.
Ongea kama mtu mwenye kichwa bwana!! Unapozungumzia UKAWA, unakuwa unazungumzia Cdm, sasa wewe unaposema eti ikijitoa ndio mwisho wake!!? hata kama ni mahaba sio ya hivi, huo ni ujinga, Hao cuf, nccr na nld, wanafanya mikutano wapi ya kuhamasisha watu wajiandikishe?? kama sio cdm ambao hawalali, usiku na mchana, najua kuwa mnaandaa mamluki eti wawagombanishe ukawa, na mnaona endapo UKAWA, Ikisambaratika muathirika mkubwa ni CHADEMA, kwani hivyo vikura vikianza kugawanwa ndio pona yenu,, angalia BAVICHA, BAWACHA, hakuna kulala, nyie UVCCM, mko kwenye kazi ya UKUWADI tu kwa wagombea, sio maneno yangu, ni ya mwenyekiti wenu, huku UWT wao nao wako kwenye ushonaji madela tu!!! mwaka huu hata mkifunika kombe mwanahalamu hapiti. Ukawa inawanyima usingizi sana, tukutane October 25
Chadema wabinafsi sana wao ndio wanajifanya wako busy sana....na kamwe hawato waburuza CUF!
MODERATORS FUTENI TENA....
kumekua na tabia za hawa moderators kufuta coments au post zinazoonyesha mpasuko wa Udini na Ukabila unaopandikizwa na Zitto mwenyewe hapa Kigoma, kinachosemwa ni hakika ukweli, fanyeni utafiti kabla ya kufita posts za watu. watu wanatupaka vinyesi tukisema ukweli mnadelete post.
hay nipigeni ban na mimi.
ata ungejiita moshi ungeeleweka tu, sio lazima mpaka ujibatize jina la kigoma.kujibatiza jina la kigoma badala ya moshi ni dalili kuwa unajishtukia.