Chadema wabinafsi sana wao ndio wanajifanya wako busy sana....na kamwe hawato waburuza CUF!
Ni kikao cha tatu sasa umoja katiba ya wanainchi vimeshindwa kufanyika baada ya Chadema kutoa udhru wa kutingwa na shughuli ndani ya chama, lakini wadau wa siasa wamebashiri ndio mwisho wa ukawa hii ni baada ya NCCR na CUF kupeleka vigezo vyao ambavyo inaonekana Kama kuitoa Chadema katika mbio za urais wa ukawa.
KUNA demu wa kigoma alitaka kunipanda mabegani kwa ubishiubishi wake nikamdiscipline naona ni ndugu wa mtoa mada, unajua nifanza nini?
Chadema wabinafsi sana wao ndio wanajifanya wako busy sana....na kamwe hawato waburuza CUF!
Hichi kikundi cha uasi hakiwezi kudumu kamwe!