William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,588
- 10,375
- Thread starter
-
- #101
I never trusted this Karume. Now it comes true!- All right, the more dataz ni kwamba Muungano uko kwenye life support, wanaomfahamu Karume kwa karibu sana wanadokeza kwamba hataki Muungano, wanasema hivi karibuni katika kikao kimoja cha Jumuiya, aliwakoromea sana Burundi na Rwanda, kwamba kwa nini wanataka kurudia makosa ya baba yake ya kujiingiza kwenye Muungano na mataifa makubwa, na kwamba baba yake alifanya makosa makubwa sana kujiingiza na bara kwa sababu siku zote miungano ya taifa kubwa na dogo, huishia kuumiza taifa dogo to the shock ya wasaidizi waliokua naye!
- The dataz ni kwamba katika moja ya kikao cha siri kati ya Seif na Karume, waliwekana sawa kwamba, wao wawili ndio Zainzibar ya sasa hakuna cha bara wala CCM, at one point Seif anasadikiwa kumuambia Karume, "..mimi nina umma na wewe una dola...sasa....wabara wa nini yakhe....!", wanaowafahamu wote wawili kwa karibu sana wanasema kwamba wote wawili wanaunganishwa na one principle ya kutoutaka muungano!
- NEC ya mwisho ilipoitishwa Karume hakuja kwa kisingizio cha kwenda kutibiwa nje, this time ameamua kuita kikao maalum huki visiwani siku ya kikao cha CC bara, pamoja na kwamba amearifiwa toka last weeek!
- The more dataz ni Kigogo mmoja wa CCM (jina tunatunza), aling'amua mapema kwamba huko visiwani kuna something fishy, akamfahamisha Muungwana na nini cha kufanya, yaani kumuita Karume mara moja Dodoma kwa siri na kumkalia kooni, Muungwana kwa kutotaka kuonekana anafuata fuata ushauri tu wa wengine na sio maamuzi yake mwenyewe, akaukataa ule ushauri na kuamua yeye binafsi kuitisha kikao cha CC na NEC kule Dodoma, Karume akachomoa na kwenda nje kutibiwa!
- Now to make this dataz story interesting, comes the main man the one and only Rostam in the picture!
......stay....tuned....!
Respect.
FMEs!
- The more dataz ni kwamba Rostam, amekua mmoja wa wafadhili wakubwa wa CUF since 2000, kupitia kwa kiongozi mmoja wa kwa jina Jusa. Hii investment is about to pay back kwa Rostam, tena big time maana kampuni ya Ughaibuni iliyokuwa inatafuta mafuta tayari imeshaambiwa kufungasha virago, kumpa nafasi Rostam, kuleta kampuni yake itakayosimamia shughuli nzima from now on!
- Rostam again ndiye single handed according to the dataz, aliyempa Karume urais ndani ya CC kule Dodoma behind the scene, na wanaomfahamu kwa karibu wanasema Rostam could careless na Muungano, mbele ya opportunity ya biashara iliyopo hapa mbele yake! According to huyu mjumbe wa kamati maalum aliyenipa dataz ni kwamba kwa maoni yake 85%, muungano umekwisha labda itokee miracles ambayo kwa maneno yake, muungwana hana huo uwezo!
- Lakini pia bado kuna upande wa pili wa the coin huko visiwani yaani wanaotaka Muungano, na wao wamekua wakikutana kwa siri, bado tunajaribu kufuatilia zaidi, na ni kweli Msekwa amepelekwa huko leo asubuhi sana kwa private jet na hivi sasa ninapoandika bado yuko ndani ya hiki kikao cha kamati maalum!
(.....stay...tuned....!..bado tunatafuta yalisemwa ndani ya kikao na nani waliosema.....!)

kutoka unguja mpaka dar ni 45miles au 72km,
watu mnaoonglea mafuta je hayo mafuta yako wapi, kwenye ardhi ya znz au kwenye bahari ambayo ina mipaka ya utata
Sasa kama Msekwa ameruhusiwa kwenye hicho kikao si siri na mikakati yao wataiexpose kwa CCM na bara?? Unless there nothing serious going on!!!
Mdondoaji,Kaka mafuta ya znz yapo katika bahari kubwa ya znz na pemba na ukanda wa mombasa na ndio maana kenya wakaomba waongezewa eneo la bahari kubwa ili iwe ndani ya mipaka yao. Sisi tanzania tumelala hadi leo but mafuta ya znz yapo bahari kubwa na reserves zake inasemekana inaweza kuzalisha around 500,000 barrels - 1 million a barrels a day which is a large scale productions si mchezo. Usidhani hii ni ishu ya kitoto mzee watu wanazo data
Mdondoaji,
Acha hizo habari za kwenye vijiwe. Hiyo Bahari kubwa uliyonayo wewe ambayo bara haina ipo wapi? You are a tiny Indian Ocean Island in the outskirts of the coast of Dar Es Salaam. Hebu twambia kama tukikuachia hizo nautical mile zako, halafu ujue from Dar Lindi Mtwara, towards the high Sea where are the Limits. Msiwe manakuja na data za ajabu. Angalia tena ile Ramani how big is Zanzibar na Zanzibar itazuia vipi waTanzania wasichimbe mafuta high sea? Mind that our fight is not oil, it is for our national Interest. Zanzibar Is part and Parcel of the United Republic Of Tanzania and nobody can temper with it.

tushaanza kuishi kwa kuikumbuka mizimu sasaNaona kama maneno ya Marehemu Baba wa Taifa yanatimia vile... Alisema kuwa "chama cha upinzania wa kweli kitatoka ndani ya CCM". Inawezekana neema hii ipo karibu sana. Hebu tusubiri.
mind you. niliwahi kulitembelea eneo lililofanyiwa utafiti usio rasmi wa mafuta kwa awamu ya kwanza huko tundauwa pemba, eneo hili mpaka leo ukienda utaoneshwa na limewekewa signs fulani hivi.Ingawa utafiti unalengwa zaidi kufanyika katika maeneo ya bahari ,lakini ni eneo hili la kijiji cha tundauwa ndio linasadikiwa zaidi kuwa na hazina ya mafuta.Lakini nakubaliana na mwisho wa post yako kwamba mafuta sio ishu, hapa tunaangalia maslahi ya pande mbili za muungano, mafuta yamefanywa ni bridge la watu kutetea kile wanachohisi ni haki yao.Mdondoaji,
Acha hizo habari za kwenye vijiwe. Hiyo Bahari kubwa uliyonayo wewe ambayo bara haina ipo wapi? You are a tiny Indian Ocean Island in the outskirts of the coast of Dar Es Salaam. Hebu twambia kama tukikuachia hizo nautical mile zako, halafu ujue from Dar Lindi Mtwara, towards the high Sea where are the Limits. Msiwe manakuja na data za ajabu. Angalia tena ile Ramani how big is Zanzibar na Zanzibar itazuia vipi waTanzania wasichimbe mafuta high sea? Mind that our fight is not oil, it is for our national Interest. Zanzibar Is part and Parcel of the United Republic Of Tanzania and nobody can temper with it.
Kabla sijakupa data jibu swali hili:Tupe wewe mipaka ya znz na mie nimesema reserve za znz zinaweza kuzalisha 500,000 - 1 million barrels na maneno haya kasema mtu ambaye wamekuja kuweka mazingira ya kubuild offshore drilling na data anazo. Haya sasa tupe wewe data zako zipi na wapi? Yes this is a matter of national interest but when national interest inaamuliwa na watu wachache inakuwa si national interest but individual interest na ndio hapo viongozi wa znz walistukizia wakaona waweke biti maana wanaona kuzidiwa ujanja na bara.
Kabla sijakupa data jibu swali hili:
Nani anazuia Zanzibar isichimbe mafuta kama yapo? Na zaidi ni mamuzi gani ambayo hufanywa na watu wachache wa Bara kwa Zanzibar na kufanya isiendelee?
.....watu urais hawauwezi wakangangania kuupata at any cost......sasa angalia sarakasi anayotuachia chama kinamvunjikia na muungano unamvunjikia.......hatutamsamehe kwa hilo!!!!!!!!!!!!
mapinduzi ya pili yanaandaliwa zanzibar....its like wameshafanikiwa kwa asilimia kubwa .... Maana wameshazipoka nguvu za rais .....hana amri tena ...kifupi amri za kikwete zinaishia chumba ireland[mpakani na zanzibar]....what a waste......hana ubavu wa advertise aliyoifanya nyerere kwa jumbe.........and jumbe will emerge hero before he die!!
no wounder kwenye hotuba ya juzi pemba ...karume alimsifu sana mkapa na kumshukuru...lakini wala hakumshukuru kikwete..moja kwa moja....it seems anamdharau!
Kabla sijakupa data jibu swali hili:
Nani anazuia Zanzibar isichimbe mafuta kama yapo? Na zaidi ni mamuzi gani ambayo hufanywa na watu wachache wa Bara kwa Zanzibar na kufanya isiendelee?
- Well...according to more dataz ni kwamba:-
1. Muungwana aliitisha kikao cha leo CC, lakini kusikia hivyo Karume naye akaitisha kikao maalum leo huko Zanzibar kwa makusudi akijua kwamba leo pia ni siku ya CC DSM.
2. Wajumbe wa CC leo walikuwa wakifahamishwa kwa simu kwamba kikao kimeahirishwa mpaka baadaye watakapojulishwa, as opposed na katiba ambapo wajumbe huarifiwa rasmi kwa maandishi.
3. The dataz ni kwamba "muafaka wa siri" Seif na Karume, una kipengele kinachomtaka Karume kutohudhuria kikao cha ina yoyote kiwe cha CCM, au serikali upande wa bara!
(......itaendeelea.......stay...tuned...! ..tabia yetu ni ile ile kuwawahi hawa CCM na habari zao nyeti maana bila hivi huwa hawazisemi.....)
Respect.
FMes!