MLAU
JF-Expert Member
- Aug 23, 2007
- 4,726
- 3,358
Dar es Salaam. Kikao cha mbunge wa Temeke(CUF) Abdallah Mtolea, uliopangwa kufanyika leo umezuiwa na Jeshi la Polisi kutokana na sababu zisizofahamika.
Mtolea aliongea na Mwananchi leo na kueleza kuwa kikao hicho kilichopangwa kufanyika leo kimezuiwa. Jana Mtolea alithibitisha kikao hicho kitafanyika na Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad, atahudhuria.
Jana, mkutano uliondaliwa na Katibu wa CUF wilaya ya Kinondoni, Juma Nkumbi, ulivamiwa na watu wenye silaha waliovalia maski na waandishi kadhaa walijeruhiwa katika tukio hilo.
Chanzo: Mwanainchi