Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,770
Reaction score
1,173
Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ndugu Samia Suluhu Hassan leo Jumatano 7 Septemba 2022 ataongoza kikao cha Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM, Lumumba Jijini Dar es Salaam.
20220907_071710.jpg
 
Thanks God for change, this time wanakutana Lumumba na sio on my state House, ccm wote humu tambueni center of power ipo Lumumba SIO Ikulu, mimi nikienda ikulu ni haki yangu ila huwezi kunikuta naenda Lumumba!
 
Uchaguzi wa Ccm ni mwaka huu, mwache tu aendelee kula posho amalize muda wake atampisha Mwinyi.

Dr Shein hakuwahi kumkubali Mwinyi ndio maana kamkazia huo umakamu Mwenyekiti mpaka Leo.
Zanzibar huwa hawaachiani umakamu mwenyekiti hadi kipindi kikamilike wakat wa Uchaguzi wa Chama
 
Kwa heshima na taadhima Mzee Mh Rais Mstaafu Shein ampishe Rais Mwinyi jr sasa.
Bado anashikilia hiyo nafasi kihalali kabisa, anyway matamanio yako nazani yapo mbioni kutimia make uchaguzi wa viongozi ccm ngazi ya taifa utakuwa mwezi December mwaka huu.
 
Uchaguzi wa Ccm ni mwaka huu, mwache tu aendelee kula posho amalize muda wake atampisha Mwinyi.

Dr Shein hakuwahi kumkubali Mwinyi ndio maana kamkazia huo umakamu Mwenyekiti mpaka Leo.

Kuover stay kwenye uongozi wakati mwengine hakupendezi. Akae pembeni atoe ushauri akiwa huko. Wako wanaoaga halafu wanarudi kwa kigezo kwamba wameombwa kumbe wakiwa huko pembeni wanaweka pressure groups ili warudi. Nadhani yuko mmoja kesha aga maratatu anaenda anarudi, ooh nimeombwa, matokeo yake ni muendelezo wa mawazo dumavu/ yaliyo dumaa kila itwayo leo.
 
Ni wakati sasa;-

"Mzee Warioba ajumuishwe kwenye kikosi kazi cha mkandala mchakato wa katiba mpya ukamilike"

"Rasimu ya Warioba irudi mezani SASA iwe katiba MPYA'!

Tumejifunza kitu hapo Kenya juzi. Kabla ya Rasimu ya Katiba ya Warioba kurudishwa mezani waiangalie marekebisho yafanyike kwenye kifungu cha Wafula Chebukati.
 
Katiba kama sheria mama ipatikane KWANZA halafu SHERIA ndani ya tume ya uchaguzi zibadilike kuendana na matakwa ya Sasa!!

Tuko pamoja mbona Katiba mpya haiepukiki kwa namna yeyote ile, kujizungusha ndiko kunawezekana lakini kwa kitambo kidogo tu. Nilicho maanisha mimi ni tume ya uchaguzi sheria yake isiwape mianya Venezuelians kutuamulia Rais awe nani.
 
Daah! Leo tunaenda 'kuliwa vichwa' rasmi ubunge wa Eala!
Kwenye kitabu cha kumbu kumbu, mateso niliyopewa na CCM tangu nianze kushiriki chaguzi, nitayaandika daima. 😀😀😀
 
Back
Top Bottom