dr luv
Member
- Dec 19, 2011
- 23
- 12
Habari Ukiwa kama ndugu,jamaa na rafiki yangu,Napenda kukukaribisha kwenye kikao changu cha kwanza kitakachofanyika sigara club chang'ombe 28/11/2012,Nahitaji mchango wako wa hali na mali kuniwezesha kununua gari VITZ maana swala la usafiri hapa mjini limekua gumu.Kufika kwako ndio mafanikio yangu.