Iwapo watatishwa, watajipambanua wapigania haki na wapigania ufisadi. Na hilo ndiyo uangamivu wao. Si mnasikia Sengerema nako diwani kaachia ngazi? Tunasubi wamalize bunge wengine wajitoe kwa wingiBaada ya shughuli za bunge kuahirishwa mchana huu, kuna Kikao cha dharura cha CCM.
My take: inaweza ikawa ni njia mojawapo ya kuwapooza wana CCM walioonyesha kuipinga serikali yao, tutegemee nini kwa michango yao katika Kikao cha jioni bunge litakaporejea?
My friend it to late for CCM kuwahi train
Baada ya shughuli za bunge kuahirishwa mchana huu, kuna Kikao cha dharura cha CCM.
My take: inaweza ikawa ni njia mojawapo ya kuwapooza wana CCM walioonyesha kuipinga serikali yao, tutegemee nini kwa michango yao katika Kikao cha jioni bunge litakaporejea?
Hiki kiswanglish bana!! Hapa nimetoka kapa!!My friend it to late for CCM kuwahi train
My friend it to late for CCM kuwahi train
Hili ndilo tatizo kubwa la Nchi yetu. Masilai ya chama mbele ya nchi nyuma. Wanaitwa kunyamazishwa kwa masilai ya chama wakati nchi inatafunwa
:msela::msela:Hiki kiswanglish bana!! Hapa nimetoka kapa!!
"WATALIJUA JIJI" mwaka huu
My friend it to late for CCM kuwahi train