CHOMBEZA
Senior Member
- Oct 27, 2011
- 129
- 27
Kwa katiba ya mwaka 1977 tuitumiayo kwa sasa naibu haingii kwenye kikao cha baraza la mawaziri labda katiba pendekezwa ya Chenge imeruhusu hivyo.
"The ends justify the means" nashaka na thread yaweza ikawa ni safisha njia ya Mwiguru 2015 haa..haa..haa mtazamo 2 wadau.