Mbona cijaona bunge la nanee au umeruka Kwa makududii
soma vizuri mbona kalionyesha
Mbona cijaona bunge la nanee au umeruka Kwa makududii
Mikael P Aweda,
Kuanzia kwa Mzee wa ruksa hadi kwa Mr dhaifu inaeleweka vyema.
Swali langu ni kwa JK wa kwanza,tukienda na huo mtiririko wa bunge moja miaka 5 napata utata mahala,tazama ;
Mwaka 60-65=5yr>bunge la 1;
Mwaka 65-70=5yrs>bunge la 2;
Mwaka 70-75=5yrs>bunge la 3;
Mwaka 75-80=5yrs>bunge la 4;
Mwaka 80-85=5yrs ni bunge la ngapi sasa maana mzee wa ruksa umesema kaanza 85 na bunge la 5,na hesabu hii ndio inatuletea bunge la sasa yaani 10.
Majibu tafadhari.
Sasa Mkuu ukihesabu kuanzia 1960 si utakuwa unahesabu bunge la wakoloni? Tunatakiwa tuanze kuhesabu kuanzia 1965 ambalo ndo bunge la kwanza la JMT. Kwa hesabu yako hili litakuwa bunge la 11! Chunguza vizuri Mkuu halafu urudi tena!
Aweda ebu fafanua vizuri kwenye mtiririko huu;:
Bunge la 1. 1960 - 1965
2. 1965 - 1970
3. 1970 - 1975
4. 1975 - 1980
5. 1980 - 1985
6. 1985 - 1990
7. 1990 - 1995
8. 1995 - 2000
9. 2000 - 2005
10. 2005 - 2010
11. 2010 - 2015
12. 2015 - 2020.
Kwa nini hili Bunge 2010 - 2015 ni la 10 na siyo la 11.
Ufafanuzi tafadhali.
Aweda ebu fafanua vizuri kwenye mtiririko huu;:
Bunge la 1. 1960 - 1965
2. 1965 - 1970
3. 1970 - 1975
4. 1975 - 1980
5. 1980 - 1985
6. 1985 - 1990
7. 1990 - 1995
8. 1995 - 2000
9. 2000 - 2005
10. 2005 - 2010
11. 2010 - 2015
12. 2015 - 2020.
Kwa nini hili Bunge 2010 - 2015 ni la 10 na siyo la 11.
Ufafanuzi tafadhali.
Mikael P Aweda,
Kuanzia kwa Mzee wa ruksa hadi kwa Mr dhaifu inaeleweka vyema.
Swali langu ni kwa JK wa kwanza,tukienda na huo mtiririko wa bunge moja miaka 5 napata utata mahala,tazama ;
Mwaka 60-65=5yr>bunge la 1;
Mwaka 65-70=5yrs>bunge la 2;
Mwaka 70-75=5yrs>bunge la 3;
Mwaka 75-80=5yrs>bunge la 4;
Mwaka 80-85=5yrs ni bunge la ngapi sasa maana mzee wa ruksa umesema kaanza 85 na bunge la 5,na hesabu hii ndio inatuletea bunge la sasa yaani 10.
Majibu tafadhari.
uwe unasoma vizuri na kuelewa kaandika ilianza kuesabiwa 1965 kwa maana hiyo bunge la kwanza ni 1965-1970.
Unaanza mwaka 1960 kwani tulikuwa tumepata uhuru? Infact mabunge yanaanza kuhesabiwa mwaka 1965 baada ya interim constitution kupitishwa.
nimegundua watanzania wengi kuelewa ni shida kaandika bunge la kwanza lilianza kuesabiwa 1965 maana yake liliisha 1970.