Yaliyojiri kwenye Bunge la 12, Mkutano wa 15, Kikao cha 16, Aprili 30, 2024

1. Mapendekezo ya tume ya haki jinai iliyokuwq imeundwa na Mhe. Rais yaingizwe kwenye utekelezaji.

2. Mahakama zote nchini zitumie/zifunguwe vifaa vya teknolojia ya kurekodi na kutafasiri mwenendo wa kesi kwa lugha ya kiswahili.

3.
 
Maboresho makubwa ya taasisi zake haswa Law School of Tanzania.Kuna watu washajifanya ni Miungu watu pale wanatesa kuanzia staff wenzao mpaka wanafunzi
 
Back
Top Bottom