Gods very own
Senior Member
- Jul 1, 2017
- 124
- 66
ni non stick kama hiyo?
nje ya madaTumia pesa ikuzoee!toa ela yoyote kwani si unakiitaji!
vya kula
Kaka naona umeamua kujitupia kwenye ujasiriamali..nkienda insta naona 55,000 tshs...
nlivyopita kkoo kuna mtu akanambia 18,000 ila hakunionesha (sikuiona)
kwa anaejua bei yake inarange vipi,nsije pigwa
View attachment 583287