Kijuso vs Aje remix ipi video kali ?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,444
25,358
Wakuu leo video ya aje remix ya ali kiba na video ya wimbo wa kijuso uliotoka kwa vichwa machachali wa WCB queen darlin na rayvann zimeachiwa kwa pamoja

Bila kumumunya maneno hawa madogo video yao kali mara 10 ya video ya aje ya ali kibakuli

Kwa ushauri tu,huyu jamaa bhana bora a base na audio tu video ana haribu kichizi hawezi yani wala hapendezi hata kidogo kwa kifupi hana muonekano mzuri wa kutokea kwenye video

Video awaachie wanaoweza ,yeye awe mpole tu

Tchaooooo
 
Hahaha, jamani, iyo Video ya aje nimeiona na Video ya kijuso pia ILA kwa quality ya Video aje IPO juu sana , nazungumzia short zilivyo chukuliwa na editor alivyo edit imekaaa vizuri zaid!! Changamoto kwa kiba ni script!!!

Kijuso imee kaaa local yaani SOKO la ndani, short zakawaida sana na script ni yakawaida mno na idea ya Video hiyo na natafuta kiki zimekuwa kama sawa, ingawa director kajitahid kitanzania tanzania ILA short still ziko kwaida sana!!! Ni video ambayo inafanyika kirahis sana!!! Haina uniqness yoyote, so niyakawaida TU!!

so Aje Ninzuri kama utachambua kwa kuacha utim!!!
 
Yaani hiyi kijuso ovyo mijitu imejazana Kama nini huyo darlin kakomaa Kama dume du aje iko level nyingine tatizo wabongo wamezoea mi video ya watu kibao kucopy na kupaste nyimbo za watu Kama marry me sijui sina team mtazamu Wangu aje remix aje original level nyingine acheni uteam
 
Utafikiri unajua muziki kumbe bure kabisa!
Nani amekwambia aje hajacopy?

uwe unafanya tafiti kabla hujaropoka!
au ndio mahaba yamekuzidi
 
Yaani hiyi kijuso ovyo mijitu imejazana Kama nini huyo darlin kakomaa Kama dume du aje iko level nyingine tatizo wabongo wamezoea mi video ya watu kibao kucopy na kupaste nyimbo za watu Kama marry me sijui sina team mtazamu Wangu aje remix aje original level nyingine acheni uteam
Livideo linaumiza macho kama amechukua na tecno p5 kama ya kimataifa naomba kituo kimoja tu kilicho ionyesha iyo nyimbo kama marry u ilipoonyeshwa na vituo sita kwa pamoja na vya nje tu hiyo ata mawingu amegoma kuiweka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom