Hiko kijiji kipo wilaya na kata gan??Mpiga miti ni kijiji kinachopatikana Mkoani Lindi.
Jina la Mpiga miti lilitokana na vitendo vya ushirikiana walivyokuwa wanafanyiwa wana ndoa haswa wageni, ambapo wahalifu hao waliingia ndani ya nyumba kishirikina na Ku sex (kupiga miti) na mke wa mtu huku mumewe akiwa kalazwa sakafuni. Huja kushtuka alfajiri mume akiwa sakafuni na mke akiwa kanajisiwa.
Hata hivyo kwa sasa habari hii ni kama imebaki historia au vitendo hivyo vimepungua sana kwa ni watu wamestaarabika na dini zimesaidia.
Inashangaza kuona kwamba jina MPIGA MITI limeendelewa kupendwa huko Lindi na sasa tuna taasisi za elimu na hata dini zimepewa jina hilo.
Pengine kuna haja ya kufuta matumizi ya majina ambayo haya kuwa na historia nzuri ama hata hayana maana nzuri kwa jamii husika, kama yale ya MCHAMBA WIMA - Zanzibar na SENGE huko Tanga.
Kuna sehemu kule Zanzibar kunaitwa Mwembe jando,kwa kweli hili jina halijakaa vizuri kulitamka.Mkuu Anopheles nielekeze kilipo hicho Kijiji.
Kuna mgombea mmoja wa udiwani nataka nimfunze adabu
Mpaka wa wilaya ya kilwa na liwaleMkuu Anopheles nielekeze kilipo hicho Kijiji.
Kuna mgombea mmoja wa udiwani nataka nimfunze adabu
Mkuu naona umesimuliwa tu ,hujaeleza Lindi wilaya gani na ni ushirikina upi uko huko
Kiufupi mpiga miti iko Lindi wilaya ya liwale,hili ni eneo linaloaminika kwa ushirikina na nguvu za Giza ambapo wanasiasa na watu tofauti tofauti huenda huko kutafuta dawa za kila namna.
Eneo hili ndipo lilipo eneo maarufu ambalo huitwa ngende,ambapo kuna bibi maarufu sana ambaye anajulikana kwa jina la bibi njumwite ambaye kufanya shughuli za uganguzi.
Kiufupi ukisimuliwa unaweza amini kuwa bibi huyu anadawa lakini hakuna jipya tofauti na utapeli tu unaofanywa na vijana wake,ukifika hapo usipokuwa makini na kama hujapata mwenyeji wa kukutahadharisha unaweza maliza hata Millioni moja bila manufaa yoyote
Eneo hili hupokea watu wengi sana hasa wakati wa kiangazi ambapo hadi wanadaslamu utapishana nao wakitafuta tiba,kuna msanii mmoja aliyewahi kuwa maarufu ndugu 20% huko ndo yalikuwa maeneo yake,nimewahi kumuona Mara moja akitafuta tiba,ulikuwa mwaka 2015 kama sijakosea.View attachment 1592514