Ahsante mkuu kwa taarifa hiiChuo cha Madini Dodoma (MRI) kilichopo miyuji Dodoma kimepakana na kambi ya makutupola kwa upande wa kaskazini na chuo cha mipango(IRDP) kwa upande wa kuzini, ni chuo pekee katika ukanda huu wa Africa mashariki na kati kinachotoa stashahada na astashahada katika sekta ya madini pamoja na petroleum
Zifuatazo ni kozi zinazotolewa ni
1.petroleum geoscience
2.geology and mineral exploration
3.mineral processing engineering
4.mining engineering
5.environmental engineering in mines
MAZINGIRA YA CHUO CHA MADINI
chuo cha Madini Dodoma MRI kina kampasi mbili nazo ni
1.main campus ya Dodoma miyuji
2.Nzega campus ulipokuwa mgodi wa dhahabu wa resolute
Karibuni wadau
Sifa za kujiunga ni rahisi inatakiwa minimum uwe na D mbili na c moja ila inategemea na idadi na uzuri wa vyeti vya walio-apply coz cutting points zinaweza kupandaAsante, ingekuwa vizuri pia kama ungeeleza na haya...
1/Sifa za msingi za kuweza kujiunga.
2/Ada zake.
Muhula wa masomo ni mwishoni mwa mwezi wa AugustAhsante mkuu kwa taarifa hii
Ila tuwekee sifa za muombaji ikiwezeka pia na karo (Ada).
Muhula wa masomo pia unaanza muda gani?
Duuh!! mkuu hii ni njia rhs kusoma hizi course kuliko,advance maana udsm pale bila 1 ya pcm/pgm hujasoma hiyo petroleum engineering!Sifa za kujiunga ni rahisi inatakiwa minimum uwe na D mbili na c moja ila inategemea na idadi na uzuri wa vyeti vya walio-apply coz cutting points zinaweza kupanda
Chuo kinamilikiwa na wizara ya nishati na MADINI na kipi chini ya usajili wa nacte
Ada yao ni tsh laki 6 na 50 kwa 1st year
Na tsh 6 kwa 2nd&3rd year